Rashidi7
JF-Expert Member
- Jul 25, 2018
- 612
- 212
Hahah mnajipangia tu siku. Ila TCU walisema 30-08-2018 hilo la kesho sijui tamko jipya.
Hiyo 1000/- Ya Nan?**TCU UPDATES** Wanafunzio wote watakaochaguliwa chuo zaidi ya kimoja, watapokea ujumbe(SMS) wenye CODE "Comfirmation Code" kutoka TCU. CODE hiyo ni siri yako mpaka utakapokuja nayo hapa InternetCafe kwa ajiri ya kuthibitisha chuo utakachoenda. Na majina ya waliochaguliwa awamu ya kwanza yatatoka tarehe 30/8/2018. Jiandae kuthibitisha mapema ili kujihakikishia mkopo. Gharama ya kuthibitisha ni 1000/- tu. Mtaarifu na mwengne. Asante!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna cha Bure, Ni ya ku Comfirm Chou unachotaka na Course ikiwa utatoke kuchaguliwa zaid ya mara mojaHiyo 1000/- Ya Nan?
Tutafanya kwenye simu tu vitu vingine havihitaji kucomplicateHakuna cha Bure, Ni ya ku Comfirm Chou unachotaka na Course ikiwa utatoke kuchaguliwa zaid ya mara moja
Sent using Jamii Forums mobile app
Asa cafe tukafanye nn, kama cm tunazo heeh**TCU UPDATES** Wanafunzio wote watakaochaguliwa chuo zaidi ya kimoja, watapokea ujumbe(SMS) wenye CODE "Comfirmation Code" kutoka TCU. CODE hiyo ni siri yako mpaka utakapokuja nayo hapa InternetCafe kwa ajiri ya kuthibitisha chuo utakachoenda. Na majina ya waliochaguliwa awamu ya kwanza yatatoka tarehe 30/8/2018. Jiandae kuthibitisha mapema ili kujihakikishia mkopo. Gharama ya kuthibitisha ni 1000/- tu. Mtaarifu na mwengne. Asante!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mi mwenyewe nashangaa eti jamaa kakomaa kabisa Ku confirm buku, kha hiyo buku sibora ninunue bamia nikanyage nitelezeHivi sahv bado wa2 wanaenda cafe bado?![]()
Nenda tcuSelection za vyuo vikuu zimetoka tayari?
Zikitoka zinapatikana kwenye website gani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hayo hutolewa na vyuo husika so waitVp kwa walio chaguliwa chuo kimoja tu make tcu wametoa majina ya walio chaguuliwa chuo zaidi ya kimoja na ambao je wamechaguliwa chuo kimoja vp??