Selected students (algeria scholarship) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Selected students (algeria scholarship)

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by awena el-riyami, Sep 6, 2012.

 1. a

  awena el-riyami Member

  #1
  Sep 6, 2012
  Joined: Aug 13, 2012
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jaman vp khs vyuo vya algeria vizuri au?
   
 2. i

  isoko Senior Member

  #2
  Sep 6, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 186
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  vizuri jiandae kwenda kupoteza mwaka mmoja kusoma kifaransa
   
 3. n

  nellycomplex New Member

  #3
  Sep 6, 2012
  Joined: Feb 13, 2012
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Naomba nijue namna ya kuapply sholarship algeria
   
 4. a

  awena el-riyami Member

  #4
  Sep 6, 2012
  Joined: Aug 13, 2012
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kusoma kifaransa c tatizo muhimu kupata elimu nzur than isitoshe french ni International language, ukiijua umegain something....
   
 5. a

  awena el-riyami Member

  #5
  Sep 6, 2012
  Joined: Aug 13, 2012
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Unaenda wizara ya elifu unapewa maelekezo yote bt kwa mwaka huu deadline tayar
   
 6. f

  fidelis zul zorander JF-Expert Member

  #6
  Sep 6, 2012
  Joined: Mar 6, 2012
  Messages: 679
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  huko umepotea jembe embu tafuta humu ndani kunapost moja wenzako wa algeria wa mwaka jana waliitoa wanailalamikia heslb kuwasahau na kutowajali yaani wanakufa njaa huko na madeni sikukatishi tamaa ila kama heslb ndo wana wafadhili kabla haujaenda jipange vyema..
   
 7. ndupa

  ndupa JF-Expert Member

  #7
  Sep 6, 2012
  Joined: Jan 25, 2008
  Messages: 4,448
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  wapigie watakupa jib!!
   
 8. a

  awena el-riyami Member

  #8
  Sep 6, 2012
  Joined: Aug 13, 2012
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sizungumzii kuhusu heslb nazungumzia elimu ya algeria nzur au sio... Basii
   
 9. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #9
  Sep 6, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,652
  Likes Received: 35,412
  Trophy Points: 280
  Yaani tunapeleka wanafunzi wetu kwenda kusoma Algeria?

  Wow!!
   
 10. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #10
  Sep 6, 2012
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  Utaratibu huo ni wa zaidi ya miaka 10 sasa
   
 11. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #11
  Sep 6, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,652
  Likes Received: 35,412
  Trophy Points: 280
  Shameful!

  Unless it's an exchange program....
   
 12. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #12
  Sep 6, 2012
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  Wala si exchange program. Tena wapo wanapewa scholarship na serikali ya Algeria na wapo wa bodi ya mkopo ya Tanzania

  Na wanakwenda wengi kwa mkupuo
   
 13. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #13
  Sep 6, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,652
  Likes Received: 35,412
  Trophy Points: 280
  Duh! Mwishowe tutaanza kupeleka wanafunzi Chad, University of N'Djamena.

  Wewe umesoma huko?
   
 14. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #14
  Sep 6, 2012
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  Hapana
   
 15. f

  fidelis zul zorander JF-Expert Member

  #15
  Sep 6, 2012
  Joined: Mar 6, 2012
  Messages: 679
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Sasa wewe usisikilize tahadhari yangu kama haujaenda kuwa house boy kwa hao wahindi waafrica huko algeria..lol
   
 16. M

  Mzee Mwafrika Senior Member

  #16
  Sep 7, 2012
  Joined: Sep 25, 2007
  Messages: 168
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Unaongea kwa kufahamu ama kwa hisia?....Algeria imekuwa ikipokea wanafunzi toka enzi za nyerere....By the way inapokea wanafunzi kutoka karibu kila nchi afrika hata middle east tena mamia kwa mamia....
   
 17. a

  awena el-riyami Member

  #17
  Sep 7, 2012
  Joined: Aug 13, 2012
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ok nshakuelewa ila c suala langu. Me nliuliza elimu ya algeria nzur au mbaya cjasema kama mm naenda algeria na wala cjazungumzia masuala ya hela, sawa?
   
Loading...