Selasini siyo mkweli, ananunulika kirahisi tuKaribu sana Kiongozi . Tanzania 🇹🇿 inakuhitaji katika mapambano ya KATIBA MPYA . HAKI , UHURU NA USAWA WA DEMOKRASIA, UONGOZI BORA. ... Serasini wewe ni mkweli nimefurahi sana kurudi nyumbani . Mungu akulinde Kiongozi .
Nyoka hakaribishwi ndani ya nyumba na hata akikaribishwa hufungiwa kwenye kizimbaKatika watu cdm wanapaswa kuwa makini naye ni Selasini. Nakumbuka alivyokuwa anatema shit dhidi ya chama chake cdm wakati wa Magufuli. Alitumika sana kuwavunja moyo waumini wa mageuzi hapa nchini. Hatakiwi kusogezwa mbele kabisa kwenye maamuzi ya chama, aishie kuwa mwanachama wa kawaida.
Katika watu ambao niliona cdm walikosea kuwapokea ni huyu mzee. Kwenda kuharibu NCCR na saaa karudi cdm. Huyu alikuwa anaongea shit sana bungeni dhidi ya misimamo ya cdm enzi za Magufuli.Karibu tena nyumbani Mr Selasini. Hawa ndio waasisi wa mageuzi nchini
Wanasiasa wanawachezea akili wafuasi wao. Halafu mbaya zaidi hawastukiSelasini alipewa tenda ya kudhoofisha NCCR baada ya Magufuli, akapokea fedha na akaikamilisha kwa kumnyang'anya Mbatia chama. Sasa anasema anakuja CDM apewe majukumu
Duh jamaa kapiga U turn moja hatari sana. Huyu afukuzwe Mapema kabla hajarudia ya NCCRKatika watu ambao niliona cdm walikosea kuwapokea ni huyu mzee. Kwenda kuharibu NCCR na saaa karudi cdm. Huyu alikuwa anaongea shit sana bungeni dhidi ya misimamo ya cdm enzi za Magufuli.
Tuliwaonya mkabishaView attachment 3593077
Hili ni kokoro linasomba yeyote yule.
Maisha ya Ajabu sana. Leo hii Selasini aliyekaribishwa na Mbatia NCCR alimtimua Mbatia aaliyemkaribisha baada ya kutumiwa na TISS. Huyu pia alitumika kudhoofisha NCCR ya akina Mabere / Mrema miaka ya 1990s
Selasini ni bingwa wa siasa za majungu, unafiki na uchumia tumbo. John Mnyika umemkaribisha lakini nakutonya "be careful" huyu ni nyoka na ana bei. TISS wakifika bei aanpokea na anasaliti.