UmkhontoweSizwe
Platinum Member
- Dec 19, 2008
- 8,665
- 7,909
Kati ya wale waliopokea zile $100 mil za DP World inasemekana amewekeza kwenye sekta ya nyumba kwa kununua apartments.
PumbavuNaendelea kuwakumbusha tuu kwamba miaka 6 ya Uongozi wa Awamu ya 5 sekta ya nyumba "Rea estates" ilidorora,Kudoda na kuporomoka kwa kasi ya mwanga hadi kufikia nyumba nyingi huko Dar kuwa empty na matangazo ya benki kupiga bei nyumba yalijaa mitaani na wanunuzi hakuna sababu uchumi iliporomoka na pesa hakuna.
Aidha bei ya ardhi na nyumba ilishuka na biashara hii kiujumla ilivurugika na ikafikia mahala Ukiwa na kiwanja au nyumba kama dhamana banks zikawa zinakataa au unapewa hela kiduchu.
Ni katika awamu ile ndio Posta Mpya ilibakia magofu huku majumba mengi ya ghorofa yakikosa wapangaji nankubakia tupu.
Ujenzi wa miradi mikubwa ya makazi ulisimama mfano Kawe, Morocco Square, Kigamboni ECO Village, magorofa ya mashirika ya pensions nk, Shirika kama NHC, kampuni za ukandarasi wa majengo zilijifia.
Punde si punde Mungu akasikia kilio akamleta Rais Samia Mama wa Uchumi na Mwanamageuzi wa kweli (Reformists) akapiga chini mipango ya Kijima na Kijamaa kwenye uendeshaji wa nchi, akafungua uchumi na kurekesha Imani ya wafanyabiashara na wawekezaji hatimaye uchumi ukaanza kurejea kule kwa enzi ya Jakaya.
Sasa hivi kwa kutumia mfano mmja tuu wa Shirika la Nyumba la Taifa NHC kimeanza tena kupata faida na kufufua miradi yake yote iliyokuwa imekwama.
Hongera sana Rais Samia wewe ndio Mama wa Uchumi unaandika historia na alama ya kudumu kwenye mioyo ya Watanzania maana kila sekta inafurahia uwepo wako.
My Take
Ogopa sana Wajamaa, ujamaa ni umaskini na Utapeli.
=====
View attachment 2707848
Shirika la Kimataifa la Fedha (IMF) limeipongeza serikali ya Tanzania kwa kuimarisha utulivu wa kiuchumi wakati ambapo dunia ilikuwa inapitia changamoto mbalimbali ikiwemo janga la Ugonjwa wa Virusi vya Korona (UVIKO-19), vita vya Urusi na Ukraine na mabadiliko ya tabianchi.
Pongezi hizo zimetolewa na Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa IMF, Bo Li baada ya kumaliza ziara yake nchini ambapo amesema “jitihada za haraka za serikali ya Tanzania zilisaidia kudhibiti mfumuko wa bei na kulinda uchumi dhidi ya athari za vita nchini Ukraine.”
Licha ya mafanikio hiyo, taasisi hiyo imeihimiza Tanzania kuimarisha ukusanyaji wa mapato ya ndani ambayo yatakuza uwezo wa Serikali katika kugharamia huduma za kijamii na kuongeza uwekezaji katika elimu, afya, maji na sekta nyingine muhimu.
Li akizungumza na wawakilishi wa sekta binafsi, asasi za kiraia na wadau wengine wa maendeleo ameeleza kuvutiwa sana na nguvu na uhai wa uchumi wa Tanzania.
Tanzania ni moja ya nchi chache barani Afrika zenye kiwango cha chini zaidi cha mfumuko wa bei ambapo kwa miezi sita mfululizo umekuwa ukishuka kutoka asilimia 4.9 Januari hadi asilimia 3.6 Juni mwaka huu.
Mama yuko kazini
Naendelea kuwakumbusha tuu kwamba miaka 6 ya Uongozi wa Awamu ya 5 sekta ya nyumba "Rea estates" ilidorora,Kudoda na kuporomoka kwa kasi ya mwanga hadi kufikia nyumba nyingi huko Dar kuwa empty na matangazo ya benki kupiga bei nyumba yalijaa mitaani na wanunuzi hakuna sababu uchumi iliporomoka na pesa hakuna.

Jibu ni Wewe umeona applicability ya nini hasa?Mkuu ChoiceVariable naomba nikuulize swali binafsi, do you even know any essence of the so callled Economics? Kwasababu kwenye bandiko lako so far bado sijaona applicabiliy ya neno uchumi kulingana na the way ulivyotafsiri wewe.
Waimba pambio msingekuwepo 😂😂 Hata maandiko yanakugomeaPunguza porojo!
Kizuri chajiuza kibaya chajitembeza
Alikaa miaka 6 anaweza onyesha viwanda vi 5 tuu alivyojenga?Kujenga majumba ni upuuzi,magufuli aliwaambia jengeni viwanda sio majumba Bado mnaakili finyu ndio maana magu anabali akili kubwa TZ. Halipo mpa bakharesa eneo ajenge kiwanda Cha sukari ata yy bakharesa alishangaa lakini Leo si hiyo sukari tunatumia Tanzania nzima naakiuza nje madoka yatakuja,Sasa ayo majumba yenu ata njombe ayafiki pia ayaleti ata Dola
Haisaidii kubadili ukweli kwamba Mwendazake was a failed porojolist authoritarianPumbavu
Wezi hawanunui apartments ndani ya Nchi Bali Nje ya Nchi sio wapumbavu kama wewe unvyofikiria.Kati ya wale waliopokea zile $100 mil za DP World inasemekana amewekeza kwenye sekta ya nyumba kwa kununua apartments.
Uchumi wa kati na kuanguka Kwa sekta ya nyumba wapi na wapi? Wewe huo uchumi wa kati ulikuwa nao?kwani uchumi wa kati tuliingia kini siyo awamu ya 5 kweli!
Akili huna
The economy is going good??!!! Ndio msomi wa bongos kweli wajinga ndio waliwaoWezi hawanunui apartments ndani ya Nchi Bali Nje ya Nchi sio wapumbavu kama wewe unvyofikiria.
The economy is doing good ndio maana unaona mambo ni 🔥🔥🔥View attachment 2708757
Huna tofauti na mwendazake nyani haoni kundu lake unajifanya mjuaji kama yeye na huna akili za kufikiri ni limbukeni kama yeye na ushamba tele umekujaa unaandika vitu usivyoelewa ndio hulka ya Watanzania wengi ndio sababu umasikini hautoisha TanganyikaHaisaidii kubadili ukweli kwamba Mwendazake was a failed porojolist authoritarian
Jibu hoja toa ujinga hapaHuna tofauti na mwendazake nyani haoni kundu lake unajifanya mjuaji kama yeye na huna akili za kufikiri ni limbukeni kama yeye na ushamba tele umekujaa unaandika vitu usivyoelewa ndio hulka ya Watanzania wengi ndio sababu umasikini hautoisha Tanganyika
Hii takataka umeokota wapi??do not believe every shit written that you fish in the internet. The aim is to confuse idiots like youJibu hoja toa ujinga hapaView attachment 2708815
Hivi unaelewa kimombo au huelewi kwani kilichoandikwa hapa ungekielewa usingefikiri kinasaidia kukutoa upumbavu wako napata shida sana na kuelewa Tanganyika kuna watu wa namna ganiJibu hoja toa ujinga hapaView attachment 2708815
Hivi unaelewa kimombo au huelewi kwani kilichoandikwa hapa ungekielewa usingefikiri kinasaidia kukutoa upumbavu wako napata shida sana na kuelewa Tanganyika kuna watu wa namna gani
Nimeokota kwenye kizibo chakoHivi unaelewa kimombo au huelewi kwani kilichoandikwa hapa ungekielewa usingefikiri kinasaidia kukutoa upumbavu wako napata shida sana na kuelewa Tanganyika kuna watu wa namna gani
Chako kimefumuliwa na mwarabu??Nimeokota kwenye kizibo chako
Maendeleo mazuri katika sekta yetu ya makazi ni jambo la kujivunia hata kama uwekezaji huu huchukua muda sana kurejesha dhamani ya uwekezaji. Rais Samia ajitahidi pia kutatua kiini cha tatizo kwasababu walio wengi wangependa kuishi kwenye nyumba zao na sio nyumba za kupanga. Kama ingewezekana, gharama za viwanja zinge thibitiwa na serikali, kodi inayotozwa kwenye vifaa vya ujenzi inge angaliwa upya.Naendelea kuwakumbusha tuu kwamba miaka 6 ya Uongozi wa Awamu ya 5 sekta ya nyumba "Rea estates" ilidorora,Kudoda na kuporomoka kwa kasi ya mwanga hadi kufikia nyumba nyingi huko Dar kuwa empty na matangazo ya benki kupiga bei nyumba yalijaa mitaani na wanunuzi hakuna sababu uchumi iliporomoka na pesa hakuna.
Aidha bei ya ardhi na nyumba ilishuka na biashara hii kiujumla ilivurugika na ikafikia mahala Ukiwa na kiwanja au nyumba kama dhamana banks zikawa zinakataa au unapewa hela kiduchu.
Ni katika awamu ile ndio Posta Mpya ilibakia magofu huku majumba mengi ya ghorofa yakikosa wapangaji nankubakia tupu.
Ujenzi wa miradi mikubwa ya makazi ulisimama mfano Kawe, Morocco Square, Kigamboni ECO Village, magorofa ya mashirika ya pensions nk, Shirika kama NHC, kampuni za ukandarasi wa majengo zilijifia.
Punde si punde Mungu akasikia kilio akamleta Rais Samia Mama wa Uchumi na Mwanamageuzi wa kweli (Reformists) akapiga chini mipango ya Kijima na Kijamaa kwenye uendeshaji wa nchi, akafungua uchumi na kurekesha Imani ya wafanyabiashara na wawekezaji hatimaye uchumi ukaanza kurejea kule kwa enzi ya Jakaya.
Sasa hivi kwa kutumia mfano mmja tuu wa Shirika la Nyumba la Taifa NHC kimeanza tena kupata faida na kufufua miradi yake yote iliyokuwa imekwama.
Hongera sana Rais Samia wewe ndio Mama wa Uchumi unaandika historia na alama ya kudumu kwenye mioyo ya Watanzania maana kila sekta inafurahia uwepo wako.
My Take
Ogopa sana Wajamaa, ujamaa ni umaskini na Utapeli.
=====
View attachment 2707848
Shirika la Kimataifa la Fedha (IMF) limeipongeza serikali ya Tanzania kwa kuimarisha utulivu wa kiuchumi wakati ambapo dunia ilikuwa inapitia changamoto mbalimbali ikiwemo janga la Ugonjwa wa Virusi vya Korona (UVIKO-19), vita vya Urusi na Ukraine na mabadiliko ya tabianchi.
Pongezi hizo zimetolewa na Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa IMF, Bo Li baada ya kumaliza ziara yake nchini ambapo amesema “jitihada za haraka za serikali ya Tanzania zilisaidia kudhibiti mfumuko wa bei na kulinda uchumi dhidi ya athari za vita nchini Ukraine.”
Licha ya mafanikio hiyo, taasisi hiyo imeihimiza Tanzania kuimarisha ukusanyaji wa mapato ya ndani ambayo yatakuza uwezo wa Serikali katika kugharamia huduma za kijamii na kuongeza uwekezaji katika elimu, afya, maji na sekta nyingine muhimu.
Li akizungumza na wawakilishi wa sekta binafsi, asasi za kiraia na wadau wengine wa maendeleo ameeleza kuvutiwa sana na nguvu na uhai wa uchumi wa Tanzania.
Tanzania ni moja ya nchi chache barani Afrika zenye kiwango cha chini zaidi cha mfumuko wa bei ambapo kwa miezi sita mfululizo umekuwa ukishuka kutoka asilimia 4.9 Januari hadi asilimia 3.6 Juni mwaka huu.
=======
Ujenzi wa Nyumba 560 za mradi wa Samia Housing Scheme, unaoendelea Kawe, Dsm, umefikia ghorofa ya nne kwa ujumla.
Kwa mujibu wa mmoja wa wasimamizi wa mradi huo Mhandisi George Shanel, kinachoendelea hivi sasa #SHS kwa ujuma, ni usukaji wa nondo, maboksi ya kushikia zege (form work), umwagaji zege, nguzo, beam na slabs kutoka ghorofa ya tatu kwenda ya nne.
aidha, ameongeza kuwa kingine kinachoendelea ni ujenzi wa kuta za tofali kwaajili ya kutenganisha vyumba ghorofa ya pili kufuatia kukamilika kwa ghorofa ya kwanza.
Kazi nyingine inayoendelea ni Uwekaji wa mifumo ya umeme na maji ghorofa ya chini (Ground floor), upigaji wa plasta kwenye kuta za ndani ghorofa ya chini (finishing).
Mradi ulianza Oktoba 2022 unatarajiwa kuisha mapema mwakani.
Mama yuko kazini