Sekta ya Afya imeimarika sana awamu hii

Sekta ya Afya imeimarika sana awamu hii

Mmh kufungua file 2000 na hyo hyo kumuona Dr? Hapana s kweli,hosp ya mkoa mfano mby n 8000 kufungua file. Kituo cha afya 5000.Zahanati 3000 so wee ni hospital gan hyo wanachaji 2000?
Mbeya ni hospitali ya rufaa ya kanda, si ya mkoa. Iko ngazi moja na hospitali za Bugando, KCMC, Kibongoto na Mirembe. Ile ya Muhimbili ni ya taifa.
 
Back
Top Bottom