Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,913
- 67,435
na anakwambia nenda popote kaseme dahKule huwez kuona serikali ikifuatilia haya. Mtanyanyaswa na haki zenu hantapewa hii ni kwa sababu mabos na wamiliki wa kampuni hizi ni aidha wanasiasa wenyewe au watu wa karibu na wanasiasa hao. Usitegemee haki hapo
Kwanini unaumwa siku ya kazi. Acha wenge chapa kaziHabari za jion
Embu leo tuonge ukweli bila unafiki juu ya utendaji kazi sekta binafsi
Mim natoa mkasa wa ukweli kabisa nilikuwa nafanya kazi office fulani hapa dar siku moja niliumwa nikasema ngoja niende job mchana nitaomba ruhusa kwenda hospital bhna mda ulipofika nikaomb ruhusa kwa boss akanijibu chagua moja kwenda hospital au kufanya kazi ukienda ujue kazi basi nikammbembeleza lakini haikufa nikaamua kwenda hospital kesho yake nikaenda kazini bhna nilitimuliwa na nikakuta mgeni kaka sehemu yangu nikaenda kumuomb samahani kesh yake akanipa onyo la mwisho
Kiukwel napenda sana kazi hila unyanyasaji kama uhu aufai hata kidogo yaani hii imetokea kwangu lakini kuna wengine wanapitia makubwa zaidi ya hili langu
we kajinga kweliKwanini unaumwa siku ya kazi. Acha wenge chapa kazi
Pole kwa kujibiwa vibaya, ila na wasiwasi na kazi hiyo yaani unafukuzwa kienyeji kwani hauna mkataba.Habari za jion
Embu leo tuonge ukweli bila unafiki juu ya utendaji kazi sekta binafsi
Mim natoa mkasa wa ukweli kabisa nilikuwa nafanya kazi office fulani hapa Dar, siku moja niliumwa nikasema ngoja niende job mchana nitaomba ruhusa kwenda hospitali. Bhana muda ulipofika nikaomba ruhusa kwa boss akanijibu chagua moja kwenda hospitali au kufanya kazi ukienda ujue kazi basi nikammbembeleza lakini haikufaa nikaamua kwenda hospitali kesho yake nikaenda kazini bhana nilitimuliwa na nikakuta mgeni kakaa sehemu yangu nikaenda kumuomba samahani kesho yake akanipa onyo la mwisho
Kiukweli napenda sana kazi ila unyanyasaji kama huu haufai hata kidogo yaani hii imetokea kwangu lakini kuna wengine wanapitia makubwa zaidi ya hili langu
Inanibidi niwe mpole two kazi zilivyo ngumu kupata na kazi yenyew nilipata kupitia jf na wasamalia wema niny wengine si wachoyoPole kwa kujibiwa vibaya, ila na wasiwasi na kazi hiyo yaani unafukuzwa kienyeji kwani hauna mkataba.
Pia tahimini ujuzi wako, yaani kama upo ni kama haupo kazini nalo hilo nii tatizo huna thamani hapo.
Mtu ukimtajia babu, lazima aone Kama unadeka , maybe ungemwambia baba, and maybe kitengo chako hamna mtu wa kumuachia, and maybe ungeweza kwenda hata weekend, hata km ungekuta wamezika wangekuelewa kwenu, ungekuwa still na kazi yako.Usinikumbushe machungu nikiambiwa nichague kati ya msiba au kazi [emoji24] ,nilifukuzwa kazi kisa nimefiwa na babu yangu ambaye ndo amenilea (naweza sema ni kama baba kwangu) alàaaniwe yule ex~boss popote alipo.