Sekta Binafsi Iliimarishwa Ama Kutegemea Wapiga Dili

Kigodoro

JF-Expert Member
Apr 25, 2014
1,660
1,679
Tangu rais magufuli aingie madarakani amepambana vilivyo na wapiga dili. ameziba mianya yote ya ukwepaji kodi, rushwa na ufujaji wa mali ya umma kupitia manunuzi, semina zisizo na tija, safari zisizo na tija, na mengine mengi.

tangu aingie hajaongeza viwango vya kodi bali anakusanya kodi ipasavyo kwa sheria zile zile za awamu ya 4.

lkn cha ajabu biashara nyingi za watu binafsi zinakufa. tumeshuhudia mahoteli, mabar, mashule na sasa makampuni yakiyumba kiuchumi na mengine kufungwa kabisa. tafsiri yake ni kwamba hayakuwa yakiendeshwa kihalali. ama yalisukumwa na nguvu ya fedha za dili. dili hizi ziliendesha sekta binafsi moja kwa moja ama indirectly.

ni muda sasa umefika kwa sekta binafsi kuwa wabunifu.
 
Back
Top Bottom