Sekretariat ya ajira (PSRS)

Sekretariat ya ajira (PSRS)

Nime apply kazi imeandika received kwenye account lakini kwenye Email hakuna confirmation kama maombi yamepokelewa. Natakiwa niwe na shaka?

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
. . [emoji848][emoji848] kwahiyo NBAA-wise aliyemaliza successfully intermediate level ni sawa tu na bachelor holder wa accountancy?
Aliemaliza intermediate kiaina flani n mkali (Professional) kumshinda holder wa BAC, kwa sababu wa intermediate kabakisha level moja kuwa CPA T wakati huo Bachelor holder itabidi aipite intermediate level na final level kuwa CPA T. Kiprofessional zaidi
 
Watu wa BAF tayar washarekebishaa.....huwez ukawaacha BAF hata siku mojaaa...kwenye soko la Account,audit and Taxation......never ever....
 
Angalia qualifications zako na mahitaji ya post unayo omba.... kuna uwezekano kazi unayo omba haiendani na sifa ulizonazo!
Alishakwambia everything is ok...na hili tatizo linatokea kwa watu wengi..binafsi haijawahi kunikubali na qualification zangu zipo sawa kabisaaa kilingana na kazi ninazo omba..haijawahi..
 
Me pia ilinitokea hio, ila ikabd nibadl qualification yangu hatimae ikakubali
 
Back
Top Bottom