kelao
JF-Expert Member
- Sep 24, 2012
- 8,132
- 5,785
Hata mahakama walijua wako imara sana wala si wagonjwa ndio maana wakaifuta dhamana!
Wewe umenufaika nini? zaidi umasikini umekuongezeka na huyo Mbowe unayeona fahari yeye kukaa mahabusu fedha zake zipo palepale na akitoka maisha yake na ufahari wake upo palepale kuliko wewe unayetegemea uliwe Tigo ndio ujipatie ridhiki.Hata mahakama walijua wako imara sana wala si wagonjwa ndio maana wakaifuta dhamana!
Kuna mtu kamuuliza? Aache kiherehere.Leo tarehe 29 Desemba, 2018 nilifika gereza la Segerea kwenda kuwatembelea na kuwafariji Mhe. Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa Chadema, na Mhe. Esther Matiko, Mbunge. Nimewakuta wote wawili wako imara na hawana wasiwasi kuwa haki itaishinda dhulma inayotendwa na watawala dhidi yao.
Nimeitumia fursa ya kuonana na Mhe. Freeman Mbowe na Mhe. Esther Matiko kuwaeleza kuhusu#AzimiolaZanzibar na mikakati ya vyama sita vya siasa kurudisha demokrasia Tanzania. Mhe. Mbowe amenambia yuko pamoja na sisi na akitoka tu gerezani ataungana nasi kuendeleza atakapopakutia.
View attachment 980465
kwani hajabaki huko huko????Leo tarehe 29 Desemba, 2018 nilifika gereza la Segerea kwenda kuwatembelea na kuwafariji Mhe. Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa Chadema, na Mhe. Esther Matiko, Mbunge. Nimewakuta wote wawili wako imara na hawana wasiwasi kuwa haki itaishinda dhulma inayotendwa na watawala dhidi yao.
Nimeitumia fursa ya kuonana na Mhe. Freeman Mbowe na Mhe. Esther Matiko kuwaeleza kuhusu#AzimiolaZanzibar na mikakati ya vyama sita vya siasa kurudisha demokrasia Tanzania. Mhe. Mbowe amenambia yuko pamoja na sisi na akitoka tu gerezani ataungana nasi kuendeleza atakapopakutia.
View attachment 980465
Hivyo kunyea debe ni halali yao baada ya kwenda fungate south,dubai,america na ubelgiji!kweli hawana ugonjwa ule wa mzee Meko
Wape muda utasikia tu kila kwenye kiraka kunafumuka muulize seth tulijua kama ana puto tumboni!Hahaha wako imara kwa maana kwamba hii kesi haiwayumbushi. Ingekuwa mtu mwingine angeshakonda na kuchakaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha unachanganya mambo, kesi ya kuandamana bila kibali haiusiani, na Kesi ya Mauaji ya Akwilina. Maandamano yanaweza kuwa chanzo lakini kuua ni kesi tofauti ama aliyeua alikusudia au hakukusudia.Ok, kama wako imara sana na hawatarudi nyuma wakae huko huko gerezani huko ndio mbele, wasirudi huku uraiani sbb watarudi nyuma na watakuwa dhaifu..!! Hizi lugha za kutiana moyo wakati ukute hata choo hapati hadi wiki kwa msongo wa mawazo ni kujidanganya.. Matiko lile t@ko kidogo litaisha huko segerea, na nidhamu itarudi, mbowe mwambie akirudi uraiani afuge ndefu nyeupee kama beberu wa kizungu au ISIS kama alivyofanya wakati ule alivyotoka selo kidogo..!! Damu ya Akwilina itawatesa sana, nani aliwaambia waandamanishe watu..!!
Ok, kama wako imara sana na hawatarudi nyuma wakae huko huko gerezani huko ndio mbele, wasirudi huku uraiani sbb watarudi nyuma na watakuwa dhaifu..!! Hizi lugha za kutiana moyo wakati ukute hata choo hapati hadi wiki kwa msongo wa mawazo ni kujidanganya.. Matiko lile t@ko kidogo litaisha huko segerea, na nidhamu itarudi, mbowe mwambie akirudi uraiani afuge ndefu nyeupee kama beberu wa kizungu au ISIS kama alivyofanya wakati ule alivyotoka selo kidogo..!! Damu ya Akwilina itawatesa sana, nani aliwaambia waandamanishe watu..!!
Huyo rais wenu anaevunja katiba ya nchi hamumuoni ?Wasirudie kukiuka masharti ya dhamana. Hamna cha uimara wala nini. Wasifanye uhuni mbele ya sheria.
Kama unamuona wewe endelea kumuona. Mimi simuoni.Huyo rais wenu anaevunja katiba ya nchi hamumuoni ?
Ngoja tukutafutie daktari wa mtambukaKama unamuona wewe endelea kumuona. Mimi simuoni.
Hamna cha daktari wala nini.Ngoja tukutafutie daktari wa mtambuka
Wape muda utasikia tu kila kwenye kiraka kunafumuka muulize seth tulijua kama ana puto tumboni!
Hata mahakama walijua wako imara sana wala si wagonjwa ndio maana wakaifuta dhamana!
Hahaha unachanganya mambo, kesi ya kuandamana bila kibali haiusiani, na Kesi ya Mauaji ya Akwilina. Maandamano yanaweza kuwa chanzo lakini kuua ni kesi tofauti ama aliyeua alikusudia au hakukusudia.
Hivi kwani Mbowe ndiye alifyatua risasi iliyopelekea mauaji ya Akwilina?! Kama siye, aliyefyatua risasi yeye yuko wapi na kesi yake inasikilizwa lini na wapi?!