Seif Sharif Hamad: Leo Nilifika Gereza la Segerea Kuwajulia Hali Mhe. Freeman Mbowe na Esther Matiko Wako Imara sana na Hawatarudi Nyuma

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,216
2,000
Leo tarehe 29 Desemba, 2018 nilifika gereza la Segerea kwenda kuwatembelea na kuwafariji Mhe. Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa Chadema, na Mhe. Esther Matiko, Mbunge. Nimewakuta wote wawili wako imara na hawana wasiwasi kuwa haki itaishinda dhulma inayotendwa na watawala dhidi yao.

Nimeitumia fursa ya kuonana na Mhe. Freeman Mbowe na Mhe. Esther Matiko kuwaeleza kuhusu #AzimiolaZanzibar na mikakati ya vyama sita vya siasa kurudisha demokrasia Tanzania. Mhe. Mbowe amenambia yuko pamoja na sisi na akitoka tu gerezani ataungana nasi kuendeleza atakapopakutia.

mbowe.jpg
 
Jay One

JF-Expert Member
Nov 12, 2010
13,781
2,000
Ok, kama wako imara sana na hawatarudi nyuma wakae huko huko gerezani huko ndio mbele, wasirudi huku uraiani sbb watarudi nyuma na watakuwa dhaifu..!! Hizi lugha za kutiana moyo wakati ukute hata choo hapati hadi wiki kwa msongo wa mawazo ni kujidanganya.. Matiko lile t@ko kidogo litaisha huko segerea, na nidhamu itarudi, mbowe mwambie akirudi uraiani afuge ndefu nyeupee kama beberu wa kizungu au ISIS kama alivyofanya wakati ule alivyotoka selo kidogo..!! Damu ya Akwilina itawatesa sana, nani aliwaambia waandamanishe watu..!!
 
Gullam

JF-Expert Member
Dec 1, 2013
5,250
2,000
Ok, kama wako imara sana na hawatarudi nyuma wakae huko huko gerezani huko ndio mbele, wasirudi huku uraiani sbb watakuwa dhaifu..!! Hizi lugha za kutiana moyo wakati ukute hata choo hapati hadi wiki kwa msongo wa mawazo ni kujidanganya.. Matiko lile t@ko kidogo litaisha huko segerea, na nidhamu itarudi, mbowe mwambie akirudi uraiani afuge ndefu nyeupee kama beberu wa kizungu au ISIS kama alivyofanya wakati ule alivyotoka selo kidogo..!! Damu ya Akwilina itawatesa sana, nani aliwaambia waandamanishe watu..!!
Msengelema wewe, hauna unalolijua. Eti waandamanishe watu, mara damu ya Akwilima itawalilia, una ukili wewe mtu wa nyegezi? Kweli hakuna kitu kibaya kama uogopa njaa, mnaonekana wehu tu, kama jamaa yenu kasaini mswaada kaugeuka tena.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
henry kilenga

JF-Expert Member
Mar 4, 2015
1,207
2,000
Ok, kama wako imara sana na hawatarudi nyuma wakae huko huko gerezani huko ndio mbele, wasirudi huku uraiani sbb watakuwa dhaifu..!! Hizi lugha za kutiana moyo wakati ukute hata choo hapati hadi wiki kwa msongo wa mawazo ni kujidanganya.. Matiko lile t@ko kidogo litaisha huko segerea, na nidhamu itarudi, mbowe mwambie akirudi uraiani afuge ndefu nyeupee kama beberu wa kizungu au ISIS kama alivyofanya wakati ule alivyotoka selo kidogo..!! Damu ya Akwilina itawatesa sana, nani aliwaambia waandamanishe watu..!!
noma sana ... mm naona huko mbele wakae hata miaka kumi ili wawe imara zaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom