Seif Gulamani: Chuo cha NIT kithaminiwe, sababu ni alama ya Mwalimu Nyerere

Dotto C. Rangimoto

JF-Expert Member
Nov 22, 2012
1,985
1,284
SEIF GULAMALI: MBUNGE WA MANONGA
*Chuo NIT kithaminiwe, sababu ni alama ya Mwalimu Nyerere
*Wanafunzi wapewe mikopo kulingana na gharama halisi za ada
* Barabara pamoja na daraja la kuunganisha Manonga na Shinyanga zijengwe

Gulamali alisoma na NIT na alikuwa rais wa chuo hiko, huenda ndio sababu ya mchango wake kujitika zaidi katika kuzungumzia matatizo ya chuo hiko.

Tazama video

 
Back
Top Bottom