Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,468
- 911,184
Mgogoro ndani ya CUF unapikwa na CCM na Lipumba ni mpiga dili. Huyu Lipumba nguvu yake ni ruzuku ambayo Seif na wabunge wote wakihama CUF na kuanzisha CUF-ASILIA basi Lipumba na waajiri wake wa CCM wataachwa kwenye mataa.
Ukimwangalia hoja za Lipumba ni kumpinga Lowassa sasa hapo si ni CCM imemwajiri awapigie tarumbeta?
Ukimwangalia Msajili wa vyama vya siasa ni kumjenga Lipumba ambaye si mwanachama wa CUF! Haya ndiyo matakwa ya CCM.
Ukiiangalia Mahakama Kuu utaona haina mpango wa kutatua mgogoro wa CUF na inauvutavuta kama ambavyo hadi leo haijauamua ule wa BAWATA ili 2020 mwanaharamu apite.
Seif inabidi akaze buti aanzishe CUF-ASILI ahame na wanachama karibu wote wa CUF na by elections zifanyike na Lipumba abaki na kopo lake akose pakukamua ruzuku.
CCM ikiona yamekuwa makubwa na Lipumba siyo dili tena utashangaa watakavyomhama..."use and dump" is a CCM long established policy!
Wakati ni sasa fanya maamuzi magumu uliokoe taifa na huu utawala wa kiimla!