Seif ana haki ya kushtakiwa

Seif ana haki ya kushtakiwa

MangaPwani

Member
Joined
Oct 5, 2014
Posts
26
Reaction score
1
Kitendo alichokifanya mgombea urais Zanzibar kwa ticket ya CUF kutangaza kura za Urais alizoletewa na mawakala wake kisheria ana haki ya kushtakiwa kwa sababu ile ni kazi ya ZEC na ZEC ndio wenye mamlaka ya kufanya vile na si mtu mwingine yeyote, km jana tulivyomsikia Jaji Lubuva aliposema wananchi na wanasiasa hamna haki ya kutangaza matokeo, mwenye kazi hiyo ni tume pekee..
 
January Makamba pia katangaza matokeo ya CCM.
au ndiyo kunya anye kuku??
 
Watu kama hao angefanya mtu mwingine, Tusingelala kwa kelele ambazo wangetoa.
 
Ama kweli nyani haoni kundule.. Bwana Makamba ni haki yake kutangaza matokeo????? maaaninah
 
Hivi wee kwel unajua hata matumizi ya neno HAKI??? Kwa hiyo kushtakiwa ni haki yake kiasi kuwa anaweza akaitetea?
 
Kamshitaki basi kwa sababu na wewe pia una haki ya kumshitaki@MangaPwani
 
Hivi wee kwel unajua hata matumizi ya neno HAKI??? Kwa hiyo kushtakiwa ni haki yake kiasi kuwa anaweza akaitetea? Jifunze kutofautisha haki na wajibu.
 
Kitendo alichokifanya mgombea urais Zanzibar kwa ticket ya CUF kutangaza kura za Urais alizoletewa na mawakala wake kisheria ana haki ya kushtakiwa kwa sababu ile ni kazi ya ZEC na ZEC ndio wenye mamlaka ya kufanya vile na c mtu mwingn yeyote km jana tulivomsikia Jaji Lubuva alipocma wananchi na wanasiasa hamna haki ya kutangaza matokeo mwenyewe kazi hy ni tume pekee,

hahaha mshitakin muone na muunbuke, mtafute kikwete na mkapa na mwinyi wanampigia magoti sasa wewe unasema ashtakiwe? pumbaffff
 
Kitendo alichokifanya mgombea urais Zanzibar kwa ticket ya CUF kutangaza kura za Urais alizoletewa na mawakala wake kisheria ana haki ya kushtakiwa kwa sababu ile ni kazi ya ZEC na ZEC ndio wenye mamlaka ya kufanya vile na c mtu mwingn yeyote km jana tulivomsikia Jaji Lubuva alipocma wananchi na wanasiasa hamna haki ya kutangaza matokeo mwenyewe kazi hy ni tume pekee,
Anza na January Makamba kama kweli una machungu na nchi yako.
 
Sasa kwani amewakataza ZEC kutangaza, si waendelee tu kutangaza? Hivi yale matokeo yanayobandikwa kwenye kila kituo sio kutangaza huko? Au sheria inasema kutangaza matokeo ambayo hayajapitia makao makuu ya tume?
 
sasa hayo matokeo mnatubandikia ya nini??
harafu mnatuona kama sisi mapoyoyo sana uchaguzi unafanyika vizuri kura zinahesabiwa mawakala wote wanakubaliana na kusain watu wanachukua hayo matokeo wanayajumlisha kujua nani mshindi KWA ngazi ya udiwani na ubunge mwiasho wa siku kwenye kutangaza inakuwa shida au mnatangaza tofauti na yaliyobandikwa vituoni??

sasa hapa kama ndio hivyo ilikuwa haina haja ya kuyabandika na kuhesabu vituoni mngekusanyiwa mabox yenu wawaletee hapo ofisini kwenu mfanye kazi yakuhesabu wenyewe hata kama mtama Liza baada ya miezi 6 haina shida tungewasubili 2
 
Umenena vyema mkuu.
 
Plan B ya CCM ya kutaka kura zihesabiwe upya then waongeze kura hewa ni upuuzi mtupu inashangaza kuona kura 500,000 inachukua siku mbili kuhesabiwa cha msingi CCM wakubali matokeo basi ni ukweli ulio wazi CUF imeshinda Zanzibar
 
Back
Top Bottom