Seif ana haki ya kushtakiwa

Seif ana haki ya kushtakiwa

Kitendo alichokifanya mgombea urais Zanzibar kwa ticket ya CUF kutangaza kura za Urais alizoletewa na mawakala wake kisheria ana haki ya kushtakiwa kwa sababu ile ni kazi ya ZEC na ZEC ndio wenye mamlaka ya kufanya vile na c mtu mwingn yeyote km jana tulivomsikia Jaji Lubuva alipocma wananchi na wanasiasa hamna haki ya kutangaza matokeo mwenyewe kazi hy ni tume pekee,

Kama ni kweli basi January Makamba vile vile ashitakiwe period Hatuitaju ubabaishaji nchi hii,km mtu ameshinda mpeni Haki yake kwanini mmzunguushe weee!!
Those old days of people remaining silent are over.
 
Ama kweli nyani haoni kundule.. Bwana Makamba ni haki yake kutangaza matokeo????? maaaninah

Shangaaa.., ashakhum....., kunya anye kuku akinya bata kahara!
Wao wako juu ya sheria ila wengine wote tu chini ya sheria!
Ukiwa kibaraka ni shida tupu!
 
Muite mr president ataitika!

Ndio president elect uyo!
 
Kwani ndugu zangu wa ccm mnaogopa nini kumpa Seif hiyo haki yake kama kweli mnaipenda znz? Hebu jaribuni kuikoa znz kwa kukubali matokeo huo ndo uungwana na utumishi bora kwa watu wa znz. Madaraka matamu lakini utamu huo usiwe mali ya ccm tu wapeni haki yao cuf, sio mfuasi wa hivi vyama lakini sioni mantiki ya ccm kulazimisha kuwatawala wazanzibar bila ridhaa ya kisiasa. Hebu tubadilikeni.
 
No research No right to speak..meanwhile When you have data you have the right to speak!!! Patamu hapo...
 
We ngoja huyo wanamvutia kasi tu,matokeo yakishakamilika tume itamtangaza mshindi,baada ya hapo atashtakiwa aidha kashinda au kashindwa!si unajua kumchinja kobe kwahitaji taiming?!

Mmesoma katiba znz au mnajiwasha tu nyambafff
 
Ukawa wanafanya kila hila ku provoke serikali ili walianzishe fujo.

Wanajijuwa wameshindwa kabisa kwenye Urais.

Tuwavumilie mpaka matangazo yote yatapotangazwa.

Haya tumekusikia, endelea kutetea ugali ila muanzisha thread ameanzisha maada ya Maalim Seif kushitakiwa.
 
Ama kweli nyani haoni kundule.. Bwana Makamba ni haki yake kutangaza matokeo????? maaaninah

Umeona eennhh!!!!,kumbe Mkuki kwa nguruwe kwa binadamu uchungu.Makamba amefanya siyo tatizo lkn kwa Maalim Seif imekuws nongwa,kweli TZ hakuna haki bora kuishi Ulaya km mbwa kuliko kuishi kisiwa hiki cha Uvumilivu km Mwananchi.
 
Sasa kwani amewakataza ZEC kutangaza, si waendelee tu kutangaza? Hivi yale matokeo yanayobandikwa kwenye kila kituo sio kutangaza huko? Au sheria inasema kutangaza matokeo ambayo hayajapitia makao makuu ya tume?

We jamaa una akili sana.nimependa hoja zako zenye mantiki.Wacha wapiga kelele wapige kelele zao lkn Mzee wa "Sawa!Sawa!!",ameshinda zenji.
 
Zec na nec ndio wenye mamlaka ya kutangaza matokeo so matokeo yanayotolewa na mtu binafsi ni fake

Acha Unafiki,Makamba hajafanya hivyo kwani?mbona watu mnakuwa na fikra butu hivyo,Jamaa yupo sawa ndo maana hawajamshitaki.sasa nenda wewe ukamshitaki si unajifanya una uchungu sana na Linchi hili lisilo na haki nenda sasa.
 
Ukawa wanafanya kila hila ku provoke serikali ili walianzishe fujo.

Wanajijuwa wameshindwa kabisa kwenye Urais.

Tuwavumilie mpaka matangazo yote
yatapotangazwa.

Ww ni mama wa kiislam isidhulumu haki ya wazanzibari walotaka mabadiliko ama ww ni murtad tujue hasbiallah wa nnemal wakil
 
Kitendo alichokifanya mgombea urais Zanzibar kwa ticket ya CUF kutangaza kura za Urais alizoletewa na mawakala wake kisheria ana haki ya kushtakiwa kwa sababu ile ni kazi ya ZEC na ZEC ndio wenye mamlaka ya kufanya vile na si mtu mwingine yeyote, km jana tulivyomsikia Jaji Lubuva aliposema wananchi na wanasiasa hamna haki ya kutangaza matokeo, mwenye kazi hiyo ni tume pekee..

Weeeeeee unawajua CCM? bora kafanya ivyo mimi mwenyewe nampongeza
 
Ww mpuuzi sana kamshitaki wewe hujamuelewa kawaambia zec watangaze matokeo kama yalivyo kwa mujibu walivyopokea kutoka kwa mawakala.
 
Back
Top Bottom