Una uhusiano gani na huyo mama?Kuna Mwanamama ana uja uzito wa miezi mitano kuelekea wa sita sasa, tatizo lake ni kwamba sehemu zake za siri zimekuwa kavu mno hakuna ute ute, ni ujauzito wake wa tatu hii hali haijawahi kumtokea kabla.
Msaada wenu tafadhali.
Mpaka wapekenyuane sehem za siri na mama wa watuUna uhusiano gani na huyo mama?
Atakuwa ni mama mkwe wakeUna uhusiano gani na huyo mama?
Hahaahah kitendo cha kusema "mwanamke flani " it means kamzidi umriAtakuwa ni mama mkwe wake
Mjamzito 😂...Atakuwa ni mama mkwe wake
Noted ...atasoma kimya kimya maana kashikiwa bango kinomaMwambie ale tende
Hii ndo JF awapotezee tu!Noted ...atasoma kimya kimya maana kashikiwa bango kinoma
Sawa.Mama yako anajua vizuri uhusiano wetu,muulize.