Sehemu za siri za mjamzito kukosa ute ute

Jan-uary

JF-Expert Member
Dec 7, 2017
967
1,015
Kuna Mwanamama ana uja uzito wa miezi mitano kuelekea wa sita sasa, tatizo lake ni kwamba sehemu zake za siri zimekuwa kavu mno hakuna ute ute, ni ujauzito wake wa tatu hii hali haijawahi kumtokea kabla.

Msaada wenu tafadhali.
 
Unataka kuendelea kumsukumia Moto? Acha ajifungue ute utarudi mtaendelea kubanduana
 

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom