Sehemu za siri za mjamzito kukosa ute ute

Sehemu za siri za mjamzito kukosa ute ute

Jan-uary

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2017
Posts
1,050
Reaction score
1,144
Kuna Mwanamama ana uja uzito wa miezi mitano kuelekea wa sita sasa, tatizo lake ni kwamba sehemu zake za siri zimekuwa kavu mno hakuna ute ute, ni ujauzito wake wa tatu hii hali haijawahi kumtokea kabla.

Msaada wenu tafadhali.
 
Kuna mwanamama hana ute ute sehem za siri" mwisho wa kunukuu
 
Unataka kuendelea kumsukumia Moto? Acha ajifungue ute utarudi mtaendelea kubanduana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom