Okay itategemea na interests zako. Ila me naweza kukushauri kama unapenda nature, tembelea sehemu hizi:
1. Pugu Natural Forest (Ushoroba) Hii ipo opposite na Minaki Secondary, kwahiyo daladala ni kama 2000/= jumla kutokea Ubungo...
LONGONI BEACH RESORT
Wooh asante mkuuOkay itategemea na interests zako. Ila me naweza kukushauri kama unapenda nature, tembelea sehemu hizi:
1. Pugu Natural Forest (Ushoroba) Hii ipo opposite na Minaki Secondary, kwahiyo daladala ni kama 2000/= jumla kutokea Ubungo.
Hapo utaweza kufanya hiking, camping, kuendesha boat, etc.
Gharama jiandae kuanzia 20k hadi 80k kutegemea na huduma.
View attachment 2390959
2. Vikindu forest reserve. Hii ipo opposite na kiwanda cha juice cha Bakhresa kipo Mbagala kwa mbele nimepasahau jina.
Activities ni sawa kabisa na Pugu hapo namba 1 ila ni cheaper na kasoro hiking hawana milima.
View attachment 2390964
Me kwa hizo mbili ndio recommend kama mtu wa kurelax mfano na bebe au friends.
Beaches, Malls, na sehemu zingine watakupa wadau.
Hii yenyewe saaana. Plus huwa kuna totoz.. Ila ina lindwa na wajedaLONGONI BEACH RESORT
Siku ya Jumapili sehemu za kutembelea ni posta, ocean road, tanzanite bridge, oysterbay, masaki, coco beach. Mimi huwa nafurahi kutembea tu kwa miguu maeneo hayo. Siku ya Jumapili posta haina watu kwa sisi ambao hatushindi huko wiki nzima inafurahisha kuzunguka mitaa yakeNatumaini wewe unaesoma uzi huu ni mzima wa afya.
Nimekuwa nikikaa hapa Dar kwa muda mrefu kidogo na kumakinika na kazi tu. Hii imekuwa ni 'one way go and return home'. Kwa sasa naona kuna umuhimu wa kutembea sehemu mbalimbali za kutulia na hata kuona jinsi watu wanavyokula maisha hapa Dar...
Mbona tunapangiana, kwaio unataka nikale mihogo ya kuchoma na kachumbari☺Wooh asante mkuu
Anaetaka twende aje pm
All bills on me
Ila uwe unajitambua
Usiwe mnywa pombe
Silipii pombe mie
Shangazi na me nije!Wooh asante mkuu
Anaetaka twende aje pm
All bills on me
Ila uwe unajitambua
Usiwe mnywa pombe
Silipii pombe mie