Sehemu za kufanya mazoezi ya viungo(GYM) hapa Dar

Geofree

Member
Aug 18, 2014
44
5
WanaJF nilikuwa nahitaji kujua GYM mbalimbali na mahali zinapopatikana hapa Dar..itakuwa vizuri kama zitaorodheshwa
 
Mpaka sasa sijaona serious answer to the query.

mkuu NGULI unaweza msaidia mleta thread?

kwa msaada zaidi mkuu Geofree, unaweza ona list hii halafu uchague moyo unapenda wapi..

[h=2]All Gyms, Fitness And Sport Centers[/h]
 
Last edited by a moderator:
Kwa hapa ninazozifahamu mimi,
Colloseum iko Oysterbay
Gymkhana iko karibia na ikulu
Oilcom pale chang'ombe
Kinondoni karibu na leaders
Oilcom ubungo
Uhuru tower mjini
Jengo la vijana Ccm Lumumba
Holiday inn

Kariakoo zipo gym nyingi ndogo ndogo,viwango vyao vya wastani na bei nafuu kidogo.
 
Mpaka sasa sijaona serious answer to the query.

mkuu NGULI unaweza msaidia mleta thread?

kwa msaada zaidi mkuu Geofree, unaweza ona list hii halafu uchague moyo unapenda wapi..

All Gyms, Fitness And Sport Centers



Mkuu thanks,

Tatizo hajajieleza vizuri dhumuni la yeye kufanya mazoezi au kwenda gym ni nini? kuna kupunguwa, fitness, tonning/ anataka kuwa Shredded. Hapo naweza kumshauri gym gani ingemfaa kwa mfano tu, Rio ilioko LPAF building opposite PPF towers wako vizuri sana kwa aerobics, salsa na Zumba. Pia kuna gym ilioko oilcom kwenye junction ya Chang'ombe nao wako vizuri sana aerobics na aerosteps. Gymkhana kwa wanyanyua vyuma kama akina Masanilo na Nyani Ngabu. Collesium wako vizuri sana kwa morning jogging pamoja spining.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom