Sehemu Yenye Jina Refu Zaidi Ulimwenguni

Guacamole

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2019
Posts
6,124
Reaction score
16,198
longest-place-name.jpg

Watu wanaoishi maeneo ya Mamungkukumpurangkuntjunya Hill nchini Austria wanahitaji uvumilivu kidogo linapokuja suala la kutaja jina la mji wao wa nyumbani.

Vile vile, kwa watu wa mto Chargoggagoggmanchauggagoggchaubunagungamaugg uliopo Massachusetts na Tweebuffelsmeteenskootmorsdoodgeskietfontein nchini Afrika ya Kusini.

Lakini wote hao hawapati shida ya kutaja majina ya miji yao kama wanavyopata watu wanaoishi katika mji wa Taumatawhakatangihangakoauaotamateaturipukakapikimaungahoronukupokaiwhenuakitanatahu uliopo nchini New Zealand.

Jina hilo lina herufi 85 na ndio linaifanya sehemu hiyo kuwa na jina refu zaidi duniani kote.

According to CNN.
 
Ingekuwa kwetu bongo tungesimplify hilo jina zingebaki herufi 4 tu. Fikiria jina Atupendile tunavyolisimplify kwa kukata kila upande na kubaki ATU, Hatupendagi ujinga sisi.
kuna member hapa JF alikuwa na jina gumu na refu kuliko wote aliitwa @benokongonongose sijui alipotelea wapi mwaka 2014!
 
View attachment 1452562

Watu wanaoishi maeneo ya Mamungkukumpurangkuntjunya Hill nchini Austria wanahitaji uvumilivu kidogo linapokuja suala la kutaja jina la mji wao wa nyumbani.

Vile vile, kwa watu wa mto Chargoggagoggmanchauggagoggchaubunagungamaugg uliopo Massachusetts na Tweebuffelsmeteenskootmorsdoodgeskietfontein nchini Afrika ya Kusini.

Lakini wote hao hawapati shida ya kutaja majina ya miji yao kama wanavyopata watu wanaoishi katika mji wa Taumatawhakatangihangakoauaotamateaturipukakapikimaungahoronukupokaiwhenuakitanatahu uliopo nchini New Zealand.

Jina hilo lina herufi 85 na ndio linaifanya sehemu hiyo kuwa na jina refu zaidi duniani kote.

According to CNN.
Hahahaha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom