Sehemu ya Uchambuzi wetu Bajeti VIDEO

Brother Zitto Kwenye pedi sijui mmetumia kigezo gani kuipinga serikali.
Kwenye kikao cha wafanyabiashara rais alisema walishusha kodi lakini madukani bei ikabaki ileile, sasa kama wamerudisha kodi kwa kua punguzo la kodi halikuwanufaisha walengwa kuna ubaya gani?
Kwenye suala la nywele bandia hapa ndo mmechemka ila mtapata sapoti kwa kua wanawake ni wengi.
Nywele bandia zinasababisha madhara kama mifuko ya plastic.
Mmejitahidi kuchambua kiasi flani.
 
Hapa tunaumia wanaume huo ndiyo ukweli
 
Kwa sasa naanza kuifungua dunia
Baada ya kumaliza masomo na uzoefu nilioupata najua sasa,
Budget is an art and science of discussing visual. Hela halisi wala haifanyi hayo yaliyotatwa. Ni vizuri upige budget ya hela zako hizo zao ziacheni
 
Kwaiyo kati ya wafanya biashara na serikali ni yupi mwenye mamlaka yakuhakikisha bidhaa iliyotolewa kodi inauzwa kwa bei nafuu?.Kusema wafanyabiashara hawakushusha bei na mamlaka zipo inaonyesha kuna shida mahali na tumeshindwa kuitatua imebidi itumike shortcut kulikwepa tatizo badala yakulitatua.
Brother Zitto Kwenye pedi sijui mmetumia kigezo gani kuipinga serikali.
Kwenye kikao cha wafanyabiashara rais alisema walishusha kodi lakini madukani bei ikabaki ileile, sasa kama wamerudisha kodi kwa kua punguzo la kodi halikuwanufaisha walengwa kuna ubaya gani?
Kwenye suala la nywele bandia hapa ndo mmechemka ila mtapata sapoti kwa kua wanawake ni wengi.
Nywele bandia zinasababisha madhara kama mifuko ya plastic.
Mmejitahidi kuchambua kiasi flani.
 
Video ndio ina majibu ya kile ulicholenga na ni vizuri utuandikie kilichomo hata sisi wa kolomije tufahamu kinachoendelea hapo Zitto
 
Back
Top Bottom