Kaduguda
JF-Expert Member
- Aug 1, 2008
- 724
- 641
Pamoja na mabaya yake kwa Wazimbabwe, huyu Rais bado ana heshima kubwa miongoni mwa marais waliosalia Afrika. Hii ni sehemu mojawapo ya speech ambayo kwa kweli wakati akiisoma hakukwepesha macho kwa wazungu wala kwa Ban Ki-Moon alipokuwa akizungumza kwenye Mkutano wa marais na viongozi wa taasisi mbalimbali za kimataifa jijini Addis Ababa - 30.01.2016.
I like his conclusion; "As long as I live, I will still have a punch" Robert Mugabe, 30.01.2016 (AU Summit, Addis Ababa)
I like his conclusion; "As long as I live, I will still have a punch" Robert Mugabe, 30.01.2016 (AU Summit, Addis Ababa)