Sehemu ya pili: Huyu kaka nampenda, ila siwezi kumwambia

Nimekuja na mrejesho, kumbe nimekuja kuambiwa kuwa huyu kaka nae anapenda kuniongelea na kuniulizia na hapo kitaa lazima nikipita nimuone tunaangaliana kama kawaida then kila mtu anapita njia yake.

Sasa jana wakati niko around nilimuona na rafiki yake wa kiume wanapiga stori mara ghafla wakaniangalia na rafiki yake ikabidi anigeukie na kuniangalia nahisi watakuwa wananiongelea baada tu ya kuniona.

Katika uchunguzi wangu kazi yake anayofanya ni 'hotel management' na pia baada ya kugundua moyo wangu bado una muhitaji awe wangu wa milele ila nimekuja kugundua kumbe na yeye ananipenda ila anashindwa kuniambia kutokana na binafsi niko seriously na maisha yangu na sinaga mazoea na vijana wa kitaa.

Nahitaji ushauri pia baada ya kugundua hayo hapo juu, jina lake ndo bado sijalijua.
Sasa upo golini mwenyewe unashindwa kufunga...

Ni mimi we niambie tuu..
 
Usilazimishe kupendwa na mwanaume ambae hawez hata kukutamkia kukili kuwa anakupenda, mtu anaweza kukuzungumzia kwa mambo mengi si lazima yawe kwa lengo La Mapenz aliyonayo kwako unaweza kuta ni msengenyaji tu
 
drama queen
 
Unadhani hii hadithi yako itakua na "episode"ngapi? ili tujiandae mapema.
 
huyo mwanaume nae domo zege asee,mtoto anaonesha interest unashindwa hata kumwita siku moja at least kumuuliza jina na mawili matatu(no ya simu)nk.tangu uanze kumfuatilia:ningekuwa mimi.....(penye miti......)
 
Mwisho wa nyuzi hizi huwa mbaya sana afu itakuja na kauli: Huu mchezo hauhitaji hasira
 
Nimekuja na mrejesho, kumbe nimekuja kuambiwa kuwa huyu kaka nae anapenda kuniongelea na kuniulizia na hapo kitaa lazima nikipita nimuone tunaangaliana kama kawaida then kila mtu anapita njia yake.

Sasa jana wakati niko around nilimuona na rafiki yake wa kiume wanapiga stori mara ghafla wakaniangalia na rafiki yake ikabidi anigeukie na kuniangalia nahisi watakuwa wananiongelea baada tu ya kuniona.

Katika uchunguzi wangu kazi yake anayofanya ni 'hotel management' na pia baada ya kugundua moyo wangu bado una muhitaji awe wangu wa milele ila nimekuja kugundua kumbe na yeye ananipenda ila anashindwa kuniambia kutokana na binafsi niko seriously na maisha yangu na sinaga mazoea na vijana wa kitaa.

Nahitaji ushauri pia baada ya kugundua hayo hapo juu, jina lake ndo bado sijalijua.
Mtumie MUAMALA
Maana ni njia ambayo wanaume tunatumia kwenu
Na ww tumia njia hiyo hiyo,tafuta namba yake tuma MUAMALA
Then omba umtoe out akipata tu MUAMALA
 
Nimekuja na mrejesho, kumbe nimekuja kuambiwa kuwa huyu kaka nae anapenda kuniongelea na kuniulizia na hapo kitaa lazima nikipita nimuone tunaangaliana kama kawaida then kila mtu anapita njia yake.

Sasa jana wakati niko around nilimuona na rafiki yake wa kiume wanapiga stori mara ghafla wakaniangalia na rafiki yake ikabidi anigeukie na kuniangalia nahisi watakuwa wananiongelea baada tu ya kuniona.

Katika uchunguzi wangu kazi yake anayofanya ni 'hotel management' na pia baada ya kugundua moyo wangu bado una muhitaji awe wangu wa milele ila nimekuja kugundua kumbe na yeye ananipenda ila anashindwa kuniambia kutokana na binafsi niko seriously na maisha yangu na sinaga mazoea na vijana wa kitaa.

Nahitaji ushauri pia baada ya kugundua hayo hapo juu, jina lake ndo bado sijalijua.
Muandikia barua ndefu kuwa usiku hulali unamuota yeye, ukinywa maji unamuona kwenye glass, ukiona sura yake moyo unasimama na mwisho kabisa umwambie kama na yeye anakupenda basi mkutane chini ya muembe lakini asimwambie mtu.

On a serious note dada dunia ya leo ni ya utandawazi, kumuomba mtu urafiki hakumaanishi unajirahisisha. Urafiki wowote huanza na salamu na kama na yeye ni rijali hatokosa cha kuendeleza. Ila kuwa makini si kila king'aacho ni dhahabu na si kila hisia ni mapenzi, usiingie kichwa kichwa ukaja juta baadae.
 
Usilazimishe kupendwa na mwanaume ambae hawez hata kukutamkia kukili kuwa anakupenda, mtu anaweza kukuzungumzia kwa mambo mengi si lazima yawe kwa lengo La Mapenz aliyonayo kwako unaweza kuta ni msengenyaji tu
unazidi kumkatisha tamaa..wakati mwenzio kajiona mshindi,
 
Back
Top Bottom