Baba Catty
Member
- Jun 7, 2021
- 37
- 65
Nimetoka primary nakimbiza balaa pale shuleni nilikuwa sina mpinzani maana hata mitihani ya Wilaya na Mkoa nilikuwa nakuwa wa kwanza.
Mtihani wa taifa la 7 nikapusua nikaenda boarding form one. Nikakutane na watabe mwenzangu nikapambane nikawa nakuwa namba 1 nikiteleza sana 2 lakini mara chache. Jina likawa kubwa karibu wanafunzi wote wa Jiji wakawa wananijua. Necta nikapiga One ya maana A za kutosha.
Advance Nikapangiwa ILBORU "PCM"Huko nilikutana na njemba zinasoma balaa na uwezo wa hali ya juu. Nakubali wengi walinizidi sana uwezo. Sikuweza hata kuingia top ten ya shule mpaka namaliza.