Sehemu wanapojaza wino wa printer

Sehemu wanapojaza wino wa printer

Osaba

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2011
Posts
1,943
Reaction score
808
Anaefahamu sehemu wanapojaza wino wa printer (refill) katika jiji la Dar anijulishe plz.
 
Hawani jamaa mmoja wa kampuni iliyoanza kujaza wino kwa kutumia vifaa vya kisasa wasiliana nao wanatoa na guaranteee .
0784 855112
Black.....5000
Colour....7000
 
Anaefahamu sehemu wanapojaza wino wa printer (refill) katika jiji la Dar anijulishe plz.

Nunua tu refill kits kariakoo wanauza kama elf 20 vichupa vya rangi 3 unakuwa unajijazia mwenyewe, siyo vigumu, kama vipi nenda youtube ujifunze mkuu. Mtu akikujazia labda atakucharge elf 10, wakati ukinunua kit yako kwa 20k unajaza mara kibao!
 
Mkuu hiyo refill kit inajaza catridge za aina zote?
 
mkuu nenda mtaa wa chaga nyuma ya chefs pride hotel.i mean uani mwa hotel wapo jamaa wanajaza
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom