Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 14,131
- 33,913
Khaaaaa, mtego wa nini sasa mpwa 😅😅Mtego huu wanetu
Safi,na Mimi usinitengeSehemu salama ya mwanaume ni Babà yake na Mama yake,
Hiyo sentensi yako ya mwisho inabeba majibu yote unayoyataka, kwa namna hizi;Afya ya akili kwa wanaume imekua tatizo linalokua kwa kasi sana na kusababisha matatizo na majanga ambayo tumekua tukiyasikia kila siku.
Naomba kuuliza wanaume mliopo JF:
- Huwa unazungumza na nani kuhusu matatizo au changamoto binafsi ulizonazo?
- Je ukikwama kikazi, kibiashara, kimahusiano n.k, msaada huwa unapata wapi?
- Una mtu maishani ambaye unaweza kumwambia mambo yako ya ndani kwa uhuru bila kuogopa kuwa judged (kuhukumiwa au kuonekana ndivyo sivyo)?
- Una mambo au vitu unavyopenda kufanya wewe mwenyewe ambavyo vinakupa furaha?
- Unaamini kwenye kutafuta msaada wa kisaikolojia au kitabibu (therapy / couseling) pale utakapoelemewa au watu wakikishauri kufanya hivyo?
Nauliza genuinely kwa sababu nataka kujifunza kama mama wa watoto wa kiume ambao watakuja kuishi kama wanaume kwenye jamii zetu siku za usoni.
Inakuwaje wanafikia huko? je ni ngumu kuongea matatizo yao au hawana wa kuongea nao?Solution yao kubwa ni kuua au kujiua...hizi mbuzi🚮
Je kama wewe ndo sababu ya hayo matatizo yote yaliyoorodheshwa, bado usitengwe?Safi,na Mimi usinitenge
hayo mambo yote huwa tunaongea na father na kwenye vikao vyetu, labda kama kikao cha mwisho hawakuhudhuria 😎Khaaaaa, mtego wa nini sasa mpwa
Waongee wapi kujitia wakakamavu kumbe sponji tuInakuwaje wanafikia huko? je ni ngumu kuongea matatizo yao au hawana wa kuongea nao?
Tuwe makini mno😀😃Mtego huu wanetu
Astaghafirullah 😃 😀 😀Waongee wapi kujitia wakakamavu kumbe sponji tu
Tujadili,asiniache pekeyangu bila yeye siweziJe kama wewe ndo sababu ya hayo matatizo yote yaliyoorodheshwa, bado usitengwe?
Naunga mkono hojaSehemu salama ya mwanaume ni Babà yake na Mama yake,
wanataka tumwage siri za kambi watuchape vizuri mwanzo wa mwezi kabisa [emoji3]Tuwe makini mno