Mai-Ndombe
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 542
- 837
Jembe siku hizi ni pa Ovyo balaaNenda Malaika beach,jembe ni jembe
https://biashara.cybo.com/TZ-biz/kvccNatarajia kuwa Mwanza kwa wiki mbili kuanzia tarehe 22 mwezi huu.Kwa wanaoifahamu Mwanza vizuri ni sehemu gani nzuri kwa starehe Mwanza.
Kama hujui usichangie tafadhali.
Mkuu unasema 5 stars ziko nyingi Mwanza? Ebu zitaje hapa ili wageni tuzijueNenda mtaa wa igogo kuna hotel nzuri sana,,zipo nyingi tu 5star na beach za kufa mtu.
Hujaelewa, nimesema mwanza mitaa ya igogo,, kama haupajui igogo ndio maana unashangaa.Mkuu unasema 5 stars ziko nyingi Mwanza? Ebu zitaje hapa ili wageni tuzijue
5 stars hotels unazijua vzr? Kama mwanza zipo hazizidi mbili kwa jiji lote. Ila ww umesema zipo kibaoHujaelewa, nimesema mwanza mitaa ya igogo,, kama haupajui igogo ndio maana unashangaa.
Wewe naye mgumu kuelewa ni sawasawa uambiwe manzese au tandale hotel za five star zipo kibao5 stars hotels unazijua vzr? Kama mwanza zipo hazizidi mbili kwa jiji lote. Ila ww umesema zipo kibao