Mbalamwezi1
JF-Expert Member
- Dec 20, 2013
- 2,073
- 2,026
Mambo vp wadau, naombeni mwenye kujua sehemu nzuri ukanda wa beach za kigamboni ambayo imetulia na naweza kupumzika na mwenza wangu tukapata lunch, dinner na kubadilishana mawazo na kupanga mipango miwili mitatu!! Isiwe Kijiji beach, mikadi beach wala south beach. Asante
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app