Sehemu nzuri ya kuishi Tanzania

Sehemu nzuri ya kuishi Tanzania

00001

Senior Member
Joined
Jul 28, 2020
Posts
183
Reaction score
981
Kwema wakuu!

Mimi ni kijana wa miaka 24 na kazi zangu ni full-time online. Nataka nikimbie nyumbani.

Kwa 2.5M kama pesa ya kuanzia maisha, Je! Ni mkoa/wilaya gani Tanzania nzuri kwa kuishi yenye sifa zifuatazo
  • Unafuu wa maisha
  • Huduma ya maji ya kuaminika*
  • Huduma ya umeme
  • Network nzuri *, 4G imara ( kazi zangu zinategemea mtandao )
  • Urahisi wa kupangisha (room single masters zichezee 50k - 70k)
  • Hali ya hewa safi
Nitashukuru kwa michango yenu yote. Ukiweka jina la mkoa tafadhali taja na wilaya.
 
Mbeya mjini....maeneo ya forest mpya,uwindini,block T na Q,isyesye,na hata mwanjelwa au mafiati....mbeya mjini kiujumla vyote ivo vyapatikana
Shukrani sana, nitafatilia huko maana binafsi Mbeya pia ilikuwa iko akilini ila muongozo ndo nikakosa
 
Kwema wakuu!

Mimi ni kijana wa miaka 24 na kazi zangu ni full-time online. Nataka nikimbie nyumbani.

Kwa 2.5M kama pesa ya kuanzia maisha, Je! Ni mkoa/wilaya gani Tanzania nzuri kwa kuishi yenye sifa zifuatazo

  • Unafuu wa maisha
  • Huduma ya maji ya kuaminika*
  • Huduma ya umeme
  • Network nzuri *, 4G imara ( kazi zangu zinategemea mtandao )
  • Urahisi wa kupangisha (room single masters zichezee 50k - 70k)
  • Hali ya hewa safi

Nitashukuru kwa michango yenu yote. Ukiweka jina la mkoa tafadhali taja na wilaya.
Mikoa ya Nyanda za Juu Kusini itakufaa ila Kwa kusaidia nenda Tunduma.
 
Back
Top Bottom