Chapa Nalo Jr
JF-Expert Member
- Dec 8, 2010
- 7,520
- 6,517
Na maanisha sehemu za haja kubwa na sehemu za uzazi za ng'ombe, mbuzi, kitiii na vingine tunavyokula. Nikila kwa mamantilie unaweza ukapewa nyama haieleweki ni sehemu gani ya mnyama husika. Ndio nauliza huwa vinatupwa au vinaingia sokoni kama kawa!