Sehemu gani ya nchi hii nitapata shughuli za vibaru?

DIRIMULAINA

JF-Expert Member
Jul 12, 2018
484
881
Wakuu poleni kwa majukumu,

Hali ni mbaya! Ukiona mtu mzima analia ujue kuna jambo kubwa, humu najua kuna watu toka kila kona ya nchi hii na wa kada zote, naombeni kufahamishwa ni wapi naweza pata shughuli za vibarua iwe viwandani, mashambani, site za ujenzi n.k nikajitume huko ili nipate tu uhakika wa kula.
Naadhirika mtanzania mwenzenu, tusaidianeni tafadhali.
 
Nchi inahitaji watu kama ninyi msiochagua kazi.
Ushauri wangu utakapo pata kibarua,jipange kwa ajili ya kilimo!
Kamwe jembe halimtupi mkulima!
 
Mkuu, Nenda Arusha! (siyo Machimboni). Nenda Mashambani, Kuna Kazi Nyingi Sana Huko Mkuu, Mkwanja Nje Nje, Wewe Tu Na Uwezo Wako Wa Kuweka Mkwanja!
Kuwa Mwaminifu! Mimi Pia Nimefanikiwa Nikiwa Huko!
 
Mkuu, Nenda Arusha! (siyo Machimboni). Nenda Mashambani, Kuna Kazi Nyingi Sana Huko Mkuu, Mkwanja Nje Nje, Wewe Tu Na Uwezo Wako Wa Kuweka Mkwanja!
Kuwa Mwaminifu! Mimi Pia Nimefanikiwa Nikiwa Huko!
Mkuu ni maeneo gani ya Arusha ninyooke moja kwa moja
 
Unaweza kwenda moshi/Kilimanjaro ukifika pale moshi mjini ulizia ofisi za Ahsante tours ukifika waombe kazi ya uportal upandishe watalii mlimani lakini hata ukifika pale moshi ulizia unapoweza kupata connection ya maporta then kajichanganye najua utapata hela ya kula uanze maisha mdogo Mdogo baada ya mda ujichanganye na maeneo ya Arusha najua channel zitakua zimefunguka.
 
Asante kwa kushare mkuu, vp hawahitaji uzoefu wowote kwa shughuli hiyo?
 
Back
Top Bottom