Sehemu gani Magomeni nitapata club nijiliwaze?

BEST ONE BOY

JF-Expert Member
Mar 21, 2017
309
221
Habari wadau wa JF,

Nipo Magomeni mda huu mitaa ipi hususani kwa Kagera maeneo yapi club nataka kujiliwaza mda huu.
 
Habari wadau wa JF,

Nipo Magomeni mda huu mitaa ipi hususani kwa Kagera maeneo yapi club nataka kujiliwaza mda huu.

Toka nje; pembezOni mwa Barabara pana TAX/BAJAJ & PIKPIK - kwa kuangalia bajeti yako chagua moja, muulize atakuelekeza tu. USIJE hapa kutupotezea mda, HUNA MAANA!
 
Magomeni kuna kumbi tena ni taarabu tu weekend lango la jiji na travertine

Clubs hakuna labda bar tu na nzuri ni opposite na sheli mwembe chai
 
Hapo Kagera karibu na Conway hotel kushoto kuna Bar flani hivi ina kigorofa cha mbao. Pale juu kuna upepo mzuri sana... Nimekaa sana maeneo hayo. Wakati naigia Dar, ndio yalikuwa maeneo yangu ya kwanza... Sasa hali si haba nakaa Masaki...
 
Back
Top Bottom