Sehemu gani hailiwi kwenye kuku?

Sehemu gani hailiwi kwenye kuku?

Ha ha ha ha umesahau vingungut na temeke mikoroshini yaan hayo makitu ni dil ile mbaya
hivi ile sehemu ya kuku iliyonyanyuka kule kwenye naniii,halafu inakuwa na mafuta inaliwa?
 
Watu wanafurahisha sana.

Hivi unakuwa unafikra gani kuamua kwenda kununua miguu ya kuku, kichwa au miguu ya ng'ombe(makongoro) huku nyama unaacha?
Akina nani wale nyama halafu wewe ule miguu?
 
Watu wanafurahisha sana.

Hivi unakuwa unafikra gani kuamua kwenda kununua miguu ya kuku, kichwa au miguu ya ng'ombe(makongoro) huku nyama unaacha?
Akina nani wale nyama halafu wewe ule miguu?

Yaelekea mwenzetu umekulia maisha fulani ya kishua?? Nyama au Kuku anapatikana mzima kila unapokuwa na hamu nae, sie bana unakaa mwaka mzima kuku umekula X-Mass hadi X-Mass!! Siyo kwa kupenda ila maisha yametufanya hivyo ndugu

Siku umeamka una jero tu, unanunua firigisi au utumbo then na unga robo hapo siku imepita! Uzuri wa huku kwetu vipimo havizingatiwi sana ukitaka unga wa mia mbili unapata, sukari ya hamsini kama kawa!!

Au ukiamka una buku, jero unapita kona unapiga kongoro na jero ingine nauli ya kuendea ofisi!! Ukifika ofisini mjanjaa kumbe umepiga kongoro la jero unacheza na maisha kijana?? We mwenzetu yaelekea siku umekosa hela umeamka na elfu hamsini mfukoni, utumbo utaujulia wapi??

Hakuna chakula kizuri kama kongoro! Nakushangaa unashangaa kongoro, pitia siku Msimbazi Center au Break Point upige kongoro pale then ulete feedback! Si kwa walala hoi tu hata matajiri wa kubwa, na wanasiasa unaowajua wewe!! Ishu siyo kuacha nyama ishu ni utamu wa kongoro au ulimi aukichwa cha mbuzi au mkia au mbomu teh teh teh
 
Watu wanafurahisha sana.

Hivi unakuwa unafikra gani kuamua kwenda kununua miguu ya kuku, kichwa au miguu ya ng'ombe(makongoro) huku nyama unaacha?
Akina nani wale nyama halafu wewe ule miguu?

Kwani siku hiz huli utumbo wa KUKU onduru
 
Back
Top Bottom