Sehemu bora na sahihi ya kufanya field

Sehemu bora na sahihi ya kufanya field

Cobrahypnosis

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2021
Posts
362
Reaction score
678
Hellow habari zenu wadau natumaini mpo salama. Nina mdogo wangu mwaka wa pili (HUMAN RESOURCE MANAGEMENT) mwezi wa Saba anatakiwa aanze field na katika maombi yake amebahatika kupata CRDB branch, OFISI YA RAS na MANISPAA, je sehemu ipi ni bora na sahihi kwake kufanya field kati ya hizo sehemu tatu. Mawazo yenu wadau ili nimpe ushauli.
 
Ofisi ya Rais,

Manispaa na bank atakua kijakazi mwanzo mwisho. [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Bank ataenda kutumwa mihogo tu na vitumbua.aende kwa RAS
 
Kuna kozi nzuri sana kweye kupata field..nakumbuka kuna one of my friend ailikua anasoma taxation field alikua anafanyia tra hasa zile za mipakani.

Aisee alikua na hela acha..yani utadhani mwajiriwa...kila wikendi ilikuwa ni party.

Baada ya kumaliza chuo sasa..mwaka wa 5 huu hana ajira..anaunga unga tu videi waka.

#MaendeleoHayanaChama
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] alishindwa kumake? Poleee yake.
 
ofisi ya rais ipi? ikulu? manispaa au tamisemi nazani nao wapo chini ya ofisi ya rais, kuna baadhi ya wizara pia zipo chini ya ofisi ya rais... mfano ofisi ya rais utawala bora

fafanua hapo ktk ofisi ya rais ili wakushauri vyema...
 
Sio ofisi ya raisi ni RAS (katibu tawala wa mkoa)
 
Sio ofisi ya raisi ni RAS (katibu tawala wa mkoa)
bora aende crdb... labda kama ana vicertificate vya nta levels abaki hapo au aende manispaa... kama hana hivyo basi aende crdb...

huo ndio ushauri wangu...
 
bora aende crdb... labda kama ana vicertificate vya nta levels abaki hapo au aende manispaa... kama hana hivyo basi aende crdb...

huo ndio ushauri wangu...

Naomba maelezo mazuri mkuu uandishi wako sijauelewa bado
 
Naomba maelezo mazuri mkuu uandishi wako sijauelewa bado
achangamke na ajira za utendaji au udereva kama ana leseni...

kaka una kaza ubongo? una shindwa kung'amua mambo madogo haya ili mdogo wetu akuwe akijivunia kaka? au ajute na kumdharau kaka?

kama ana cheti cha taalma NTA level 5, au udereva tafadhari ajitahidi kuangaika na hizi ajira...
 
kama hana basi mtafutie hata shule ya udereva ajifunze, itamsidia huko mbeleni...

muongezee thamani... usimuache kama alivyo mzee...
 
Back
Top Bottom