Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Segerea Ndio hii

Discussion in 'Jamii Photos' started by MaxShimba, Sep 9, 2012.

 1. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #1
  Sep 9, 2012
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,808
  Likes Received: 102
  Trophy Points: 145
  [​IMG]
   
 2. Zamaulid

  Zamaulid JF-Expert Member

  #2
  Sep 9, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 14,613
  Likes Received: 3,913
  Trophy Points: 280
  ...mmmmh!
   
 3. g

  gallaxy Member

  #3
  Sep 9, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 33
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  :spy::wacko:
   
 4. R

  Rebel volcano JF-Expert Member

  #4
  Sep 9, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 404
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wakimbizi hao wanaotaka kwenda nchi za magharibi ili kuboresha hali ya maisha yao,dhorba wanazozipata ndio hizo
   
 5. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #5
  Sep 9, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,515
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Kwa hili nitahitaji kuwa tomaso ndo niamini
   
 6. hovyohovyo

  hovyohovyo JF-Expert Member

  #6
  Sep 9, 2012
  Joined: Jul 8, 2012
  Messages: 533
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  duh!!! naona nyota tu!
   
 7. Root

  Root JF-Expert Member

  #7
  Sep 9, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 18,870
  Likes Received: 3,834
  Trophy Points: 280
  Hebu nenda then.utuambie kama ni.hiyo au sio
   
 8. Malingumu

  Malingumu JF-Expert Member

  #8
  Sep 9, 2012
  Joined: Apr 5, 2012
  Messages: 244
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45
  Du! si mchezo!!
   
 9. Ukwaju

  Ukwaju JF Bronze Member

  #9
  Sep 9, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 7,775
  Likes Received: 395
  Trophy Points: 180
  Hii picha siipendi kwani kuna Mhariri wa Gazeti la R**** aliitoa akielezea magereza yalivyo hapa nchini na kadhia zake nilimpigia msg ajibu ni Gereza gani? hilo hakunijibu, kweli hapo Haki za Binadamu lazima waingilie hao vijana walale vizuri km ni kusini mwa jangwa la sahara au kokote Mzee Mbuzi km una habari ni wapi tujuze
   
 10. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #10
  Sep 10, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 38,753
  Likes Received: 3,103
  Trophy Points: 280
  Mkuu Ukwaju hii itakuwa ni Rwanda sio Tanzania au nimekosea mkuu Mbuzi Mzee? segerea hakuwezi kuwa kama hivi.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 11. kukomya

  kukomya JF-Expert Member

  #11
  Sep 10, 2012
  Joined: Sep 20, 2011
  Messages: 337
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Picha hii nimewahi kuiona sehemu fulani, ni wazima kweli hawa? au ni maiti?
   
 12. Ukwaju

  Ukwaju JF Bronze Member

  #12
  Sep 10, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 7,775
  Likes Received: 395
  Trophy Points: 180
  MUNGU awasaidie maana naona km wapo katika Lori maana mikono haiko huru na wengine wamelaliana,
  km wako hai MUNGU ni mkubwa yaani nilibishana na mhariri mpaka alipotea hewani hakutaka kupokea sms zangu, maana nilimwambia ntaipeleka kwa wanaharakati. asante Mzizi Mkavu
   
 13. awp

  awp JF-Expert Member

  #13
  Sep 10, 2012
  Joined: Jun 6, 2012
  Messages: 1,717
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  maiti hizo
   
 14. MATESLAA

  MATESLAA JF-Expert Member

  #14
  Sep 10, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 1,252
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Hapa ukilala fofofo lazima majapala wakuingilie
   
Loading...