Segerea Mobile Laboratory

lukindo

JF-Expert Member
Mar 20, 2010
8,466
9,036
seg.jpg
Gari lenye vifaa vya maabara litakalotumiwa na shule za sekondari jimboni kwa ajili ya masomo ya vitendo. Hii itatusaidia kukabiliana na uhaba wa maabara ambao umekuwa kikwazo kwa wanafunzi kufaulu masomo ya sayansi na ni mwanzo tu wa maboresho kupitia kampeni ya Mazingira Bora kwa Elimu Bora niliyoizindua mwaka huu.

My take:
Hivi hii ilikuwemo kwenye ahadi au ndio ujenzi wa madaraja pasipo na mito!?
 
Back
Top Bottom