Seeking a Strong Woman for a Modern Marriage (32M)(serious reply only)

Watu wamekariri sana. Kama mwanaume sina mpango wa kubweteka na sio kama sifanyi kazi. Ila kwa maisha yangu na mipango yangu inahitaji mwanamke mwenye kipato na uwezo ili tuendeshe maisha wakati huo huo mipango yangu inaenda kwa utulivu.., nategemea kwa ninachokifanya after 4 years kitasimama barrabbara na ntakua na ushawishi mkubwa wa kuendeleza kugurudumu la familia tena kwa vipato vilivyoongezeka. Kwa sasa ninahitaji familia ba kipato changu hakitoshi kwa maisha ya mjini pia siwezi kumweka ndani mwanamke wa kunitegemea mimi 100%.. Wanawake wajanja wana akili ya kuwekeza kwa mwanaume na kufaidika na matunda baadae.
Endelea kutafuta mkuu, kwani tunakukatisha tamaa basi, tunakuambia facts. Hakuna mwanamke wa dunia ya tatu anataka kubeba mizigo ya familia, even the wealthiest.

Kama unafikiri inawezekana, basi tafuta na utapata, ila utakayempata ni mdada aliyeko desperate na ndoa wala sio kingine, akishatulia ndani miezi sita ni mingi, hicho unachosema hakitakuwepo tena.
 
kwanini unadhani vitu ambavvyo huna uhakika navyo

kule Upanga MSIKITI WA MAAMOUR miaka fulani wakati naishi Tunaishi Upanga, Imamu alikuwa anatangaza siku ya ijumaa,kuwa kuna wanawake wanataka kuolewa wako vizur kiuchumi,kama mwanaume unataka kuendesha gari utaendesha,ila ilisemwa kabisa mwanaume sio ndio abweteke kwakuwa anakuta mambo safi

Kwahiyo kuna wanawake wapo gud ila wanakosa waume tu
Wanaongea hivyo outta desperation, mtu akiwa desperate ataongea chochote, ila akishakaa na kutulia ndio utaona alimaanisha au ilikuwa mihemko tu. Wanawake hawajaumbwa kuhudumia, ila kwa vile unadhani ni rahisi kwa ulimwengu wa tatu, twende kazi!!
 
Endelea kutafuta mkuu, kwani tunakukatisha tamaa basi, tunakuambia facts. Hakuna mwanamke wa dunia ya tatu anataka kubeba mizigo ya familia, even the wealthiest.

Kama unafikiri inawezekana, basi tafuta na utapata, ila utakayempata ni mdada aliyeko desperate na ndoa wala sio kingine, akishatulia ndani miezi sita ni mingi, hicho unachosema hakitakuwepo tena.
Endelea kutafuta mkuu, kwani tunakukatisha tamaa basi, tunakuambia facts. Hakuna mwanamke wa dunia ya tatu anataka kubeba mizigo ya familia, even the wealthiest.

Kama unafikiri inawezekana, basi tafuta na utapata, ila utakayempata ni mdada aliyeko desperate na ndoa wala sio kingine, akishatulia ndani miezi sita ni mingi, hicho unachosema hakitakuwepo tena.
Ni kweli ila hii 2026 dunia ipo tofauti.
Kuna wanawake wengi wenye mafanikio ambao sasa hivi wamechoka kuwa superwomen..wanatafuta amani. Ukweli ni kwamba mwanamke anayetafuta hela nyingi anahitaji mwanaume mwenye akili, anayeweza kumanage nyumbani, watoto, na miradi mingine ili yeye aweze kufocus.
Dunia ya sasa inahitaji timu inayojua wapi pa kuweka nguvu kwa wakati husika. Muda utaongea. Ndoa ya kisasa ni Strategic Partnership.
 
Mkuu,
Ingia mzigoni, tafuta huyo mwanamke na baada ya miaka kadhaa utakuja kuleta mrejesho.
 
Kazi kweli kweli Mwanaume mzima unataka kulelewa hii ni aibu kubwa sijawah kuona
 
Back
Top Bottom