Seeking a Strong Woman for a Modern Marriage (32M)(serious reply only)

Not my thing shoo, imagine unarudi home late anakuuliza unamjibu tu kazi zilikuwa nyingi 🤣🤣 atatoa wapi guts za kukuhoji in details? Itamkosesha raha..
Si ndio vzr kwani amekwambia anataka raha🤣 we hutaki msaidizi wa nyumba kuangalia watoto kwa umakini😳
 
😂😂 una uhakika atakuwa makini kama maza house? Au ndio atakuwa anamfunika mtoto na tenga ili asitambae kuchafua nyumba
 
Not my thing shoo, imagine unarudi home late anakuuliza unamjibu tu kazi zilikuwa nyingi 🤣🤣 atatoa wapi guts za kukuhoji in details? Itamkosesha raha..
I offer more than that.. wanaojua wanajua..
 
Wanaume wote baba yao huyo! We kuwa breadwinner umburuze kijana😂😂
The modern economy favors the ambitious woman and I’m here to support that. Capitalism isn't for me. I’d much rather be a stay at home husband, managing the house and supporting a driven woman’s career.
 
You won't get such a woman in Tanzania, try somewhere else especially in Europe or USA.
 
Bold idea! But its not for me😂 i believe in balance, not opting out of providing or pushing all responsibilities to one partner... not wanna be a sole provider hmmm
 
I’m definitely not a bum,I have got skills and I’m currently growing a project that needs time to mature.I’m happy to contribute financially, but my focus is on providing the peace and domestic stability she needs to thrive. It’s a team win, not a free ride.
 
Hawezi kumpata bongo, hata awe amejipata vipi, mwanamke wa bongo anahitaji kupewa kila kitu😅😅😅
Anampata vizuri tu ila cha moto! Mwanamke akiwa na pesa anapelekesha vibaya wewe🤣
 
I’m definitely not a bum,I have got skills and I’m currently growing a project that needs time to mature.I’m happy to contribute financially, but my focus is on providing the peace and domestic stability she needs to thrive. It’s a team win, not a free ride.
Both team to score hahah
 
You won't get such a woman in Tanzania, try somewhere else especially in Europe or USA.
kwanini unadhani vitu ambavvyo huna uhakika navyo

kule Upanga MSIKITI WA MAAMOUR miaka fulani wakati naishi Tunaishi Upanga, Imamu alikuwa anatangaza siku ya ijumaa,kuwa kuna wanawake wanataka kuolewa wako vizur kiuchumi,kama mwanaume unataka kuendesha gari utaendesha,ila ilisemwa kabisa mwanaume sio ndio abweteke kwakuwa anakuta mambo safi

Kwahiyo kuna wanawake wapo gud ila wanakosa waume tu
 
Watu wamekariri sana. Kama mwanaume sina mpango wa kubweteka na sio kama sifanyi kazi. Ila kwa maisha yangu na mipango yangu inahitaji mwanamke mwenye kipato na uwezo ili tuendeshe maisha wakati huo huo mipango yangu inaenda kwa utulivu.., nategemea kwa ninachokifanya after 4 years kitasimama barrabbara na ntakua na ushawishi mkubwa wa kuendeleza kugurudumu la familia tena kwa vipato vilivyoongezeka. Kwa sasa ninahitaji familia ba kipato changu hakitoshi kwa maisha ya mjini pia siwezi kumweka ndani mwanamke wa kunitegemea mimi 100%.. Wanawake wajanja wana akili ya kuwekeza kwa mwanaume na kufaidika na matunda baadae.
 
Back
Top Bottom