Security Officers | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Security Officers

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Bodyguard, Jul 2, 2012.

 1. Bodyguard

  Bodyguard Member

  #1
  Jul 2, 2012
  Joined: Jul 2, 2012
  Messages: 27
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Kampuni mpya ya Ulinzi, Usalama na Inteligensia inakaribisha maombi ya watu wachache wenye sifa zifuatazo:

  1. Jinsia: Kiume na Kike
  2. Umri: Miaka kati ya 20 na 30
  3. Elimu: Kuanzia Form IV na Kuendelea:
  4. Lugha: Kiingereza na Kiswahili
  5. Tabia: Jasiri na mwenye tabia njema na asiye na record yeyote ya uhalifu (Police Clearance Certificate itatakiwa).


  Kazi zilizopo:

  1. Static Security Officers
  2. Incident Response Guards
  3. Bodyguards - Waliopitia mafunzio ya ukakamavu kama Karate watapewa kipau mbele
  4. Intelligence & Investigation Officers - Walio na Elimu ya Juu
  5. Training in Range & Weapon Services
  7. Security Consultancy Services
  8. Security Communications

  Tuma maombi yako na CV kwa firstresponsebrigade@gmail.com
   
 2. Bodyguard

  Bodyguard Member

  #2
  Jul 7, 2012
  Joined: Jul 2, 2012
  Messages: 27
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Interview zitaanza rasmi tarehe 16 Julai 2012
   
 3. Allien

  Allien JF-Expert Member

  #3
  Jul 8, 2012
  Joined: Jul 6, 2008
  Messages: 5,548
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Katika areas hizi ni watu gani mnawatarget?:

  3. Bodyguards - Waliopitia mafunzio ya ukakamavu kama Karate watapewa kipau mbele
  4. Intelligence & Investigation Officers - Walio na Elimu ya Juu
  5. Training in Range & Weapon Services
   
Loading...