security note kuhusu CCTV

security note kuhusu CCTV

nimekuta notes kwenye taasisi moja " these premises are monitored by CCTV" msaada cctv ndo nini
Closed-circuit television (CCTV) is the use of video cameras to transmit a signal to a specific place, on a limited set of monitors.
Ni system ya camera ziinazotumika katika ulizi wa mali,zinarecord na kutunza sehemu maalum,kwa hiyo popote penye kamera utakachofanya kitaonekana.
 
Duh kuna mwalimu mzuriiii anaitwa google umemsahau atakusaidia kuku direct kwa wahusika wakufundishe vizuriiiii
 
Back
Top Bottom