Security check point

bora hayo mambo wangefanyia kwenye chumba mana hapo ni kama wanawandhalilisha tu .
 
sasa anayechekiwa mbona kama anasikilizia kitu baada ya kushikwa maeneo hayo?
 
sasa anayechekiwa mbona kama anasikilizia kitu baada ya kushikwa maeneo hayo?
Mkuu hata mimi nimeona hiyo. Dada yangu anausikilizia mkono ukitambaa kabisa, hofu yangu asije kuishiwa nguvu mkasema ana kifafa.
 
hao wanao wakagua ni wanawake sema wana sura ngumu. angalia viatu vyao na matiti. mia
 
Hawa ni lazima watakuwa wataalamu wa masafa toka TCRA manaake huyu wa kwanza anakagua Voda tu, lakini huyo wa pili anakagua Voda & Tigo kuona kama wanatoa huduma stahiki kwa walaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…