ujue hata mi nimezamapo!Kweli huwa inatokea!
Nadhani ni miongoni mwa mkanganyiko wa kihisia unaoweza kukupata mtu mzima!
Kuna shosti mi nilimchukulia rafiki kumbe ye kazama bwana......!
Da ilikuwa shida na lawama sana, hatuku-move ila pia urafiki haukuwa na nguvu tena...!
So nadhani kinachoua urafiki sio tu kufanya mapenzi na huyo "best friend"
Kabisa DC Dark City, hii mambo ni sawa na kutembea na muwa ukisema fimbo any time unaula....!Hakuna formula ndugu yangu..
Ila kwa wanaume, anajisikia vibaya kulea mwanambuzi halafu watu wengine wakaja kujichunia kirahisi na kutafuna nyama choma...Unahisi kwamba ni vizuri ukavune matunda ya kazi yako!!
At least from the men's perspectives!!!