Secretary | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Secretary

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Hilipendo, Apr 11, 2012.

 1. Hilipendo

  Hilipendo Senior Member

  #1
  Apr 11, 2012
  Joined: Sep 13, 2011
  Messages: 188
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Natafuta kazi ya usekretari jijini Arusha. Nimesoma na sekondary na kumaliza form 4, na nimesoma stage one ya secretarial na computer veta na kufaulu vizuri. Ninauzoefu wa miaka miwili kwenye kampuni mbili tofauti na nimekuwa secretary, cashier na assistance sales representative kwa nyakati tofauti. Naombeni msaada wenu.
   
 2. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #2
  Apr 11, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,330
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  Wewe ni wa jinsia gani?
   
 3. Bushbaby

  Bushbaby JF-Expert Member

  #3
  Apr 12, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,577
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  Hiyo Stage 1 VETA ulisoma mda gani?
   
 4. Hilipendo

  Hilipendo Senior Member

  #4
  Apr 12, 2012
  Joined: Sep 13, 2011
  Messages: 188
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0


  Nimesoma mwaka m1 nikapata certificate
   
Loading...