Secretary unaukumbuka huu ujumbe ulionitumia

Secretary unaukumbuka huu ujumbe ulionitumia

C.T.U

JF-Expert Member
Joined
Jun 1, 2011
Posts
5,080
Reaction score
3,771
Hallow C.T.U Mamboz
Kama hautajali ukirudi toka Dubai can we meet plizzzz
we ukifika nicheck kwa namba hii +255........
and plizzz niletee OBAGI, na SAMSUNG GALAXY S3
 
disney_002.gif
 
tafuta dawa ya huu ugonjwa huu ASPD (Attention Seeking Personality
Disorder) Ukishapona ndo tutaenda sawa

Naona unajaribu kwa kila njia kucheza na attitude yangu
 
Last edited by a moderator:
Wakati wazazi kijijini wana tabu ya maji,solar,bomba la kupulizia dawa etc
 
Kutokana na haya unayoandika nimegundua kuwa una tatizo la Delusions of Grandeur{DG}. Unahtaji matibabu ya haraka.

nicky ulichokiandika hapa nimekielewa bt , sijaelewa behind the curtain nini mnajadili ! Please even few hints!
Ofcoz kitu ikiletwa public it means obviously anyone who need to share ana nafasi ya kushea , si ndiyo?
 
Last edited by a moderator:
nicky ulichokiandika hapa nimekielewa bt , sijaelewa behind the curtain nini mnajadili ! Please even few hints!
Wanagombania ubwabwa na maharagwe na mchuzi wa juzi. Hivi hapa tuko wapi?
 
Last edited by a moderator:
nicky ulichokiandika hapa nimekielewa bt , sijaelewa behind the curtain nini mnajadili ! Please even few hints!
Ofcoz kitu ikiletwa public it means obviously anyone who need to share ana nafasi ya kushea , si ndiyo?

Mimi ni Dokta. Nipo kazini
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom