Secret codes women use on their men

Hupoi vizuri so unajibu nn

Huwa mnauliza "una mpango gani na mimi" na mimi nauliza "kabla sijajibu, wewe una mpango gani na mimi?"

Hivi akina Tutsi gl ni kweli huwa mnashindwa kusoma picha wala kusikia harufu?
 
Last edited by a moderator:

Hihh mimi hua naangalia matendo na body language na jinsi anavyowatrt ma ex wake ukiona mtu anamtukana sana ex wake ujue yy chenga
 

Hata sipotezi muda kukuambia hayo yote najitahidi kuwa muwazi sio hadi unisome upoteze muda wako ni kuwa original tuu
 
Hata sipotezi muda kukuambia hayo yote najitahidi kuwa muwazi sio hadi unisome upoteze muda wako ni kuwa original tuu

original ndo hivyo ilivyo hiyo style yako ndo fake!
 
original ndo hivyo ilivyo hiyo style yako ndo fake!

Amna wala wewe unamueka wazi tuu kama mtu kakukwaza siyo mara umjibu vifupi watu wengine hawaelewi dadangu yeye anajua kila kitu sawa kumbe unaungua ndani kwa ndani
 
Amna wala wewe unamueka wazi tuu kama mtu kakukwaza siyo mara umjibu vifupi watu wengine hawaelewi dadangu yeye anajua kila kitu sawa kumbe unaungua ndani kwa ndani

Hayo mambo ya digital sasa ila kiuhalisia mwanamke Hufikisha ujumbe kwa ishara na mwanaume rijali anayejielewa hugundua yote
lakini magumegume hawaelewi ishara yoyote na hjta akielewa hajali.
 
Hayo mambo ya digital sasa ila kiuhalisia mwanamke Hufikisha ujumbe kwa ishara na mwanaume rijali anayejielewa hugundua yote
lakini magumegume hawaelewi ishara yoyote na hjta akielewa hajali.

Nilikua hivo mwanzon najitahid kutumia sanaa ya matendo bt nilionekanaga boya nikaamua kuwa philosophy yangu itakua "lets call a spade a spade not a big spoon"
 
Correction: Wengi unaowapata hawaelewi.

Girls problem they lov those who hurt them, and VICE VERSA

Haijalishi naowapata au niliowahigi kuwapata point ni ile ile sio wanaume wote wanaelewa hizo nyingine ni shombo tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…