Secret Admirer? A Flirt????

Secret Admirer? A Flirt????

I wish ungemuoana uso wake

He is enjoying, definetly.

Ha ha haa unajua tena wengine wanasema opportunity comes once in a life time.., tena mtu ukishamwambia unampenda anaona kama vile bahati ilioje na sio ya kuachia (si unajua tena) ndio hapo anaanza kufikiri kwa kutokutumia kichwa chake bali viungo vingine.., ana-hope kwamba huyu awe ni genuine.

Ingawa sikatai kwamba huenda huyu dada akawa mkweli ila kuna 80% ya kwamba ni tapeli, ukilinganisha risk na faida its not worth it kuweka maisha yako rehani.., tena siku hizi na hizi cameras anaweza kupigwa picha katika sehemu hatarishi na wakaanza kumu-blackmail... (si unajua tena hata hawa vibaka siku hizi hawachelewi kuanza kuigiza kama kwenye movies..)
 
Kongosho, si huyu mbaba aipate tu name ya huyu dada? Ukiende polisi na ukaonesha sms na akiweka vijisenti kidogo chapuchapu anakamatwa kwa kutishia binadamu!! Mimi mwanamke kama huyu nikikutana naye ataimba taarabu zote maana nitamkomesha!! Ni kwa digital anakamwatwa halafu namlaza Segerea kwanza huku nikinunua dhamana yake mpaka akome adabu!! Gold diggers hawa!! Mbona wasitume sms kwa waendesha mkokoteni? Hawajui behind any family development there is a strong woman behind? Mwanamke mwenzio afanye kazi yake vema halafu wengine matumbo wazi kutaka kudaka vya bure!!! Hata kama ni EX tukishaachana ni kimoja, no turn!!!
 
Kuna mtu mmoja, early 50's, mwanamme, yuko vizuri kimaisha(akyanani wanamme msinunue vogi, zinawaponza)

Amekuwa akipokea meseji za vitisho kutoka kwa mtu, anayehisiwa ni mdada
kwa yeye anavyohisi ni mdogo kutokana na aina ya meseji anazotuma, za vitisho + mapenzi

Mfano, analazimisha wakutane mahali anapotaka huyo binti, alipokataa kukutana akamwambia 'huu ni mwanzo, hujauona mwisho' (Tatizo la kuangalia movie too much)

Mie nikabaki na maswali, huyu binti anataka nini? ni secret admirer? a flirt? au ni mwanamke wake wa zamani kasikia jamaa sasas yuko mambo safi?

Dah, hivi mabinti wamekuwa na ujasiri kiasi hiki?
so he is been stalked by her?? kumbe wanawake mnaweza haya mambo......

p.s. she is a stalker
 
Ukweli kabisa, she has a wife.

Nikisema 'wife' namaanisha wife kweli, sio mzuri kwa nje, ila uzuri wa ndani, very humble pamoja na hali yao

Kongosho, si huyu mbaba aipate tu name ya huyu dada? Ukiende polisi na ukaonesha sms na akiweka vijisenti kidogo chapuchapu anakamatwa kwa kutishia binadamu!! Mimi mwanamke kama huyu nikikutana naye ataimba taarabu zote maana nitamkomesha!! Ni kwa digital anakamwatwa halafu namlaza Segerea kwanza huku nikinunua dhamana yake mpaka akome adabu!! Gold diggers hawa!! Mbona wasitume sms kwa waendesha mkokoteni? Hawajui behind any family development there is a strong woman behind? Mwanamke mwenzio afanye kazi yake vema halafu wengine matumbo wazi kutaka kudaka vya bure!!! Hata kama ni EX tukishaachana ni kimoja, no turn!!!
 
Na hii ndio ilikuw apoint yangu

Anaweza dhani ni mwanamke kumbe ni mtu mwingine kabisa
Kajifanya binti mdogo lakini ana jambo lake, mie nilimshauri akaripoti polisi na TCRA

Bora achukue precautions kwa kuripoti polisi.

You never know unless he knows what is all the fuss about.
 
kusema polisi kwamba kuna binti ananisumbua ni mtihani kidogo. it hurts our masculinity :nono: 🙄.

Ana ukakika gani kama anayem-stalk ni binti?

Whether anayefanya hivyo ni binti au siyo binti stalking is a crime.

Kumbe eeh Blaine................... ngoja niitafute namba ya mtu nim-stalk aisee

Anza ma mimi ili nikuwahishe segerea fasta kabla hujam-stalk Blaine anayeoona aibu kukuripoti central.

Nikupe namba?
 
Ana ukakika gani kama anayem-stalk ni binti?

Whether anayefanya hivyo ni binti au siyo binti stalking is a crime.

Anza ma mimi ili nikuwahishe segerea fasta kabla hujam-stalk Blaine anayeoona aibu kukuripoti central.

Nikupe namba?
conventionally, its harder kwa mwanaume kulalamika kunyanyaswa na binti. jamii ita (mis)interpret as wewe ni "less of a man", hii inawakwaza wanaume wanaonyanyaswa.

why would a man stalk another (married straight) man?
 
why would a man stalk another (married straight) man?

Women stalk men nearly as much as men stalk women.

Men and women also stalk each other in similar ways.

Men stalk more at night and women stalk more by day.

Why a male would stalk another male? The motive can be romantic jealousy.

Gay men are the most likely victims of male-on-male stalking.

But man-stalking often is linked to the high-profile positions that the targets hold in society.

Professors are stalked by male students.

Attractive celebrities are pursued by lonely men looking for famous buddies.

Business and political leaders can become objects of hate when consumer complaints turn ugly.

Source: Men Stalking Men
 
thanks...
 
Kongosho una uhakika kuwa jamaa hamjuio huyo binti? Na una uhakika kuwa huyo Binti hamjui huyo jamaa!! to me ni kama vile huyomdada anamfahamu vema huyo mbaba kiasi cha kuelewa which button to press aisee!! Mtu asokujua kabisa hawezikutishia na wewe ukaogopa!
nilitaka kumwuliza hili pia...
ana uhakika gani kama hawafahamiani?
mara nyingi hawa wenzetu wakikamatwa swala la kwanza huwa ni kumkana muhusika kuwa hamjui, lol!
 
Back
Top Bottom