Kuna mibaba inakera wewe, muda mwingine inabidi ujifanye una vitisho mkwara mwingi kumbe huna hata cha kumfanya!!!
Kimbembe kinakuja pale atakapokujua na kujua kuwa huwezi kumfanya lolote,aibu yake isikie tu asikwambie mtu na omba hilo lipite mbali yako lisikukute.
umejuaje? ndivo anavokudanganya eeeh?
mwaka huu husalimiki
Dawa ni hakuna kulegeza kamba mkwara kwa kwenda mbele, yani sisimizi anamtisha tembo ha ha ha!!!
ila huwa ni maboya sana mababa yanayopigwa mikwara sijui ndo hofu ya kuogopa kuharibu ndoa.
Yanakeraje? Kumbuka huyu baba hamjui huyo binti wala
sikuelewi kabis siku hizi! ujue unazeeka vibaya wewe?Mmh, i wish anagekuwa ananidanganya, am scared for his life
Tusiwe tunadhani ni scret admirer kumbe Osama
Si unajua kadri majukumu ynavyozidi unagusa 'interest' za watu wengi zaidi
Dawa ni hakuna kulegeza kamba mkwara kwa kwenda mbele, yani sisimizi anamtisha tembo ha ha ha!!!
ila huwa ni maboya sana mababa yanayopigwa mikwara sijui ndo hofu ya kuogopa kuharibu ndoa.
Huyo siyo secret admirer. Wala siyo kwamba anamhashua huyo mbaba.
Anachofanya ni stalking, behaviour ambayo inaweza kuwa ni harassment au intimidation.
"Virtually any unwanted contact between two people [that intends] to directly or indirectly communicates a threat or places the victim in fear can be considered stalking"
However, in practice the legal standard is usually somewhat stricter.
Women often target other women, whereas men generally stalk women only.
But males are as likely to report being stalked by a male as a female offender