Super Sub Steve
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 17,696
- 11,297
Tatizo Madarasa yanaongezeka ila ongezeko la walimu halipoRais Samia Suluhu anaendelea kuupiga mwingi sekta ya elimu alianzisha mradi wa ujenzi wa vyumba vya madarasa 8000 nchi nzima vyenye thamani ya Tsh Bilioni 160 sasa madarasa yamekamilika kwa asilimia 95 na kupelekea wanafunzi wote kuanza masomo kwa pamoja.
Wanafunzi wanaotarajia kujiunga na kidato cha kwanza kuanzia 9 January 2023 ni jumla ya wanafunzi 1,073,941 (wavulana 514,846 na wasichana 559,095)
Lakini pia tangu Rais Samia Suluhu aingie madarakani amefanikiwa kujenga madarasa zaidi ya elfu 20 nchi nzima ndio maana wanafunzi wote wataanza masomo kwa wakati mmoja na kufutwa kwa second selectio pia wazazi wamenufaika na ujenzi huu wa madarasa kwasababu hawakutozwa chochote ukilinganisha na hapo awali.
Rais Samia Suluhu anaendelea kuboresha sekta ya elimu kwa kupita kuboresha mazingira ya kusomea pia kuajiri walimu wa kutosha na kujali maslahi ya walimu .
Angalau inasaidiaKakudanganya nani elimu inatoa ujinga Tanzania!!?😞
Wataajiriwa tuTatizo Madarasa yanaongezeka ila ongezeko la walimu halipo
Sasa mwalimu wa sekondari anakuwaje na Diploma tu, its better wachukue Degree nyinginezo kama Statistics, Physics, Chemistry zifundishe sekondari kuliko Diploma.Ahaaa ndio lile la walimu wa diploma kufundishe msingi tu?? Maana Kwa uhaba walimu hata sekondari kwenyewe uliwatoa wenye diploma si Ndio uhaba utazidi mara dufu
Kuna walimu wa degree za miaka hii Bora wa diploma za miaka ya nyuma.Sasa mwalimu wa sekondari anakuwaje na Diploma tu, its better wachukue Degree nyinginezo kama Statistics, Physics, Chemistry zifundishe sekondari kuliko Diploma.
Na uhaba wa walimu sio kwamba hawapo ila ni serikali haitaki kuwaajiri
Mkuu,ujinga na upumbavu mtu anazaliwa navyo na anakufa navyoBora,wakapate elimu ya sekondari,nchi Ina wajinga wengi sana
Kwakuwa mimi Mtoto wa Shule ni mdau katika Sekta hii WACHA NIPIGE KIMYA!!!Rais Samia Suluhu anaendelea kuupiga mwingi sekta ya elimu alianzisha mradi wa ujenzi wa vyumba vya madarasa 8000 nchi nzima vyenye thamani ya Tsh Bilioni 160 sasa madarasa yamekamilika kwa asilimia 95 na kupelekea wanafunzi wote kuanza masomo kwa pamoja.
Wanafunzi wanaotarajia kujiunga na kidato cha kwanza kuanzia 9 January 2023 ni jumla ya wanafunzi 1,073,941 (wavulana 514,846 na wasichana 559,095)
Lakini pia tangu Rais Samia Suluhu aingie madarakani amefanikiwa kujenga madarasa zaidi ya elfu 20 nchi nzima ndio maana wanafunzi wote wataanza masomo kwa wakati mmoja na kufutwa kwa second selectio pia wazazi wamenufaika na ujenzi huu wa madarasa kwasababu hawakutozwa chochote ukilinganisha na hapo awali.
Rais Samia Suluhu anaendelea kuboresha sekta ya elimu kwa kupita kuboresha mazingira ya kusomea pia kuajiri walimu wa kutosha na kujali maslahi ya walimu .
upo sahihi,tena hao wa degree wanabaki mara shakespear kasema hivi,sijui plato kasema vile na ubishi mwiingiKuna walimu wa degree za miaka hii Bora wa diploma za miaka ya nyuma.
Ni sawa na kusema diploma mmoja ni sawa na walimu 5 bachelor.
Take my word muulize MTU yyt mwenye uelewa.
Miaka hii watoto mnakwenda kuchukua vyeti tu