Sawa aharakishe mchakato wa Tanzania kuungana na Marekani haraka sana.Rais Samia Suluhu anaendelea kuupiga mwingi sekta ya elimu alianzisha mradi wa ujenzi wa vyumba vya madarasa 8000 nchi nzima vyenye thamani ya Tsh Bilioni 160 sasa madarasa yamekamilika kwa asilimia 95 na kupelekea wanafunzi wote kuanza masomo kwa pamoja.
Wanafunzi wanaotarajia kujiunga na kidato cha kwanza kuanzia 9 January 2023 ni jumla ya wanafunzi 1,073,941 (wavulana 514,846 na wasichana 559,095)
Lakini pia tangu Rais Samia Suluhu aingie madarakani amefanikiwa kujenga madarasa zaidi ya elfu 20 nchi nzima ndio maana wanafunzi wote wataanza masomo kwa wakati mmoja na kufutwa kwa second selectio pia wazazi wamenufaika na ujenzi huu wa madarasa kwasababu hawakutozwa chochote ukilinganisha na hapo awali.
Rais Samia Suluhu anaendelea kuboresha sekta ya elimu kwa kupita kuboresha mazingira ya kusomea pia kuajiri walimu wa kutosha na kujali maslahi ya walimu .
Watakaoenda private ni kwa mapenzi yao tu lakini ukifatilia hata ufaulu mkubwa wa wanafunzi unatokea government school kwa sasa maana Rais Samia Suluhu ameboresha mazingira ya kusomea kwa shule za serikaliNgoja Kwanza
wamefuta aje second selection na huku wapo watakaoenda private??
Hilo ni pendekezo bado halijafanyiwa kazi mzeeNilisoma humuhumu kuwa darasa la saba halipo,nielewesheni
Hilo ni pendekezo bado halijafanyiwa kazi mzee
Sasa ww unafikiri kuna waliofeli... Wote wamevushwa .Nilisoma humuhumu kuwa darasa la saba halipo,nielewesheni
Bora,wakapate elimu ya sekondari,nchi Ina wajinga wengi sanaSasa ww unafikiri kuna waliofeli... Wote wamevushwa .
Bado hawajaanza kufanya huo mchakato. Lkn pia nilisoma hivoNilisoma humuhumu kuwa darasa la saba halipo,nielewesheni
Dah,nkajua wanaanza mwaka huuBado hawajaanza kufanya huo mchakato. Lkn pia nilisoma hivo
Kakudanganya nani elimu inatoa ujinga Tanzania!!?😞Bora,wakapate elimu ya sekondari,nchi Ina wajinga wengi sana
Mambo ya kisenge tu ,darasa moja watoto 500.Mtoto anapata A masomo yote halafu unampeleka shule ya kata! Kwenye hiyo hesabu mwanangu mmtoe.Rais Samia Suluhu anaendelea kuupiga mwingi sekta ya elimu alianzisha mradi wa ujenzi wa vyumba vya madarasa 8000 nchi nzima vyenye thamani ya Tsh Bilioni 160 sasa madarasa yamekamilika kwa asilimia 95 na kupelekea wanafunzi wote kuanza masomo kwa pamoja.
Wanafunzi wanaotarajia kujiunga na kidato cha kwanza kuanzia 9 January 2023 ni jumla ya wanafunzi 1,073,941 (wavulana 514,846 na wasichana 559,095)
Lakini pia tangu Rais Samia Suluhu aingie madarakani amefanikiwa kujenga madarasa zaidi ya elfu 20 nchi nzima ndio maana wanafunzi wote wataanza masomo kwa wakati mmoja na kufutwa kwa second selectio pia wazazi wamenufaika na ujenzi huu wa madarasa kwasababu hawakutozwa chochote ukilinganisha na hapo awali.
Rais Samia Suluhu anaendelea kuboresha sekta ya elimu kwa kupita kuboresha mazingira ya kusomea pia kuajiri walimu wa kutosha na kujali maslahi ya walimu .
Ulitaka apelekwe shule gani!?Mambo ya kisenge tu ,darasa moja watoto 500.Mtoto anapata A masomo yote halafu unampeleka shule ya kata! Kwenye hiyo hesabu mwanangu mmtoe.
Ufaulu wa form four acha uongo wanaofeli government schools ni balaa.Kidato cha tano wanachagua wazuri kutoka private ndo wanakuja kufaulu form six. Form Four wanafunzi wa shule za serikali wengi hupata div.iv na zero.Hao wa div.iv huhesabiwa wamefaulu,Watakaoenda private ni kwa mapenzi yao tu lakini ukifatilia hata ufaulu mkubwa wa wanafunzi unatokea government school kwa sasa maana Rais Samia Suluhu ameboresha mazingira ya kusomea kwa shule za serikali
Ahaaa ndio lile la walimu wa diploma kufundishe msingi tu?? Maana Kwa uhaba walimu hata sekondari kwenyewe uliwatoa wenye diploma si Ndio uhaba utazidi mara dufuHilo ni pendekezo bado halijafanyiwa kazi mzee
Hao hua wanaongea tu kutimiza kimbembeDah,nkajua wanaanza mwaka huu
Mleta muongo na bwege kichwani.Usimtilie maananiNgoja Kwanza
wamefuta aje second selection na huku wapo watakaoenda private??