mategemeo yangu nilitaka Bachelor of arts with education nimekuta wamenichagua UDOM adult education and community development cjui iko poa? wadau naombeni mnijuze kwa wenye ufaham.
rarely sana tcu wakapeleka mtu akakatiliwa na chuo husika maana wanazingatia guide yao, nadhan inatokea sana udsm pengine kwenye complications kama za udsm, sina uhakika!